Nisaidie kujibu hayo maswali mi nipo busy nakunywa juisi kola hapa.. tusitiane stress bure..😅Kwahiyo mzazi ukiwa na tv chumbani utakuwa hukai sebuleni? Au ukiwa sebuleni inazimwa? Na redio je, mbona matangazo ni hayohayo siku hizi?
Matangazo yamekuwa too graphic
Kuna hawa madkt wa tiba asili yaani ukiwa na mdada pembeni unaona aibu wewe
Dkt anadai anatibu magonjwa mbalimbali lakini ukisikiliza matangzo kila siku ni yeye na nyeti za watu tu humsikii akizungumzia kisukari, BP
Bado yupo kuna redio moja namsikiaga sijui redio gani ile.Hivi yule dkt Ndodi alifiaga wapi maana anakamba balaa
kuna lile tangazo la Free styl sijui,yuko Mobeto anajibinua binua tule tutako chake,linanudhi sana,halina heshima kwa wazazi na watotoJamani, ni kweli tuko kwenye utandawazi lakini haya matangazo yamezidi ukali utasikia Kondomu ina vidoti inanukia inaongeza utamu au yule binti yuko chooni analia damu zimemtoka ghafla hana Pedi mambo hayo yanatia ukakasi au ni ushamba wangu tu ndo unanisumbua.
Yan nimeangusha bonge moja la cheko 😆😆😆"Condom inavipele vinavyo kuna vizuri, hivyo itakufanya kuongeza radha ya tendo" mixer brah brah nyingine kibao
Aah babu! Kuna maneno mengine kwenye matangazo yanaleta ukakasi sana, hii ikinikutaga na washua huwa natamani ardhi ipasuke niingie kujifisha.....
Labda ni ushamba wetu mimi na mtoa mada
Jamani, ni kweli tuko kwenye utandawazi lakini haya matangazo yamezidi ukali utasikia Kondomu ina vidoti inanukia inaongeza utamu au yule binti yuko chooni analia damu zimemtoka ghafla hana Pedi mambo hayo yanatia ukakasi au ni ushamba wangu tu ndo unanisumbua.
Ni aibu,me nina dogo huwa ana kalili maneno sana
Na wanarusha muda wa taarifa ya habari, familia yote iko hapo inaangalia.
😀😀😀 jamani!Yan nimeangusha bonge moja la cheko 😆😆😆
Aibu ya nini? Ni muda wa kukaa na watoto wenu na kuwapa elimu juu ya afya ya uzazi kama wewe baba au mama hutazungumza na mwanao, nani azungumze nae? Tv?
Bongo movie hutukana matusi, na maswala ya ngono hadharani, Hadi aibumimi juzi nilikuwa nyumbani kwa maza akawa anatazama channel ya sinema zetu,ghafla wakaanza kuongea matusi na mambo ya kitandani nikanyanyuka nikaondoka,leo pia nimekuta imewekwa channel ya sinema zetu wanasifiana kukatika mauno kitandani nikabadili channel
Bongo movie hutukana matusi, na maswala ya ngono hadharani, Hadi aibu
Lakini sio kwa mtoto wa miaka saba mkuuElimu ya afya haipaswi kuonewa aibu, ni vyema watoto Wakaona na ikibidi waulize na maswali.
Hivi hizo bongo movies ni mamlaka gani inawajibikwa kuwaweka kwenye mstari?babe mimi kuna Bongo movie tulikua tunatizama na maza,jamaa anamsifia demu wake mambo ya kitandani
hata wazungu tu wana maadili ndio mana wana viewers Guidelines.
wanakwama sana aise hapa nafikilia kum convince maza abadili king’amuzi aweke Dstv. maana mambo ya sinema zetu ni aibu ule sio uigizaji ni uasherati
Hayo mambo yapo kingamuzi gani mzee baba?
Hivi hizo bongo movies ni mamlaka gani inawajibikwa kuwaweka kwenye mstari?