Natangaza kupotea kwa kaka yangu supermarket hapa jf naye hajulikani aliko.
Cc Sakayo
Cc Shunie
Cc Aishah2016
Cc espy
Cc Mama facebook II
Hebu tujuzane jamani.
Huyo dada kushoto ndo AshaDii?
YaanKwakweli ni kitambo sijamtia machoni, sijui kapotelea wapi!!!
Hebu mtafute, ukute kakosa nauli.Yaan
Toka ende Moshi sku kuu mpaka leo kimya.
Haiwezekani bwana, watu wote washarudi. Moshi hamna tena wageni, hebu fanya juhudi za kumpataYaan
Toka ende Moshi sku kuu mpaka leo kimya.
Yaani huyo ndugu yetu kaenda wapi jamani!!Natangaza kupotea kwa kaka yangu supermarket hapa jf naye hajulikani aliko.
Cc Sakayo
Cc Shunie
Cc Aishah2016
Cc espy
Cc Mama facebook II
Hebu tujuzane jamani.
AaahYaani huyo ndugu yetu kaenda wapi jamani!!
Unajua sikuelewi, simu, majirani na wewe ndugu yake pia wote hamjui aliko!!Aaah
Ki ukweli nimefanya jitohada zote imeshindikana
Sote hatujui tume muachia Mungu tu nowUnajua sikuelewi, simu, majirani na wewe ndugu yake pia wote hamjui aliko!!
MmmmhSote hatujui tume muachia Mungu tu now
Nipo my brother..imenibidi nidownload JF app nijekukuondoa hofu na niondoe hofu kwa members pia.Natangaza kupotea kwa kaka yangu supermarket hapa jf naye hajulikani aliko.
Cc Sakayo
Cc Shunie
Cc Aishah2016
Cc espy
Cc Mama facebook II
Hebu tujuzane jamani.
Kwakweli ni kitambo sijamtia machoni, sijui kapotelea wapi!!!
Yaan
Toka ende Moshi sku kuu mpaka leo kimya.
Haiwezekani bwana, watu wote washarudi. Moshi hamna tena wageni, hebu fanya juhudi za kumpata
Yaani huyo ndugu yetu kaenda wapi jamani!!
Aaah
Ki ukweli nimefanya jitohada zote imeshindikana
Unajua sikuelewi, simu, majirani na wewe ndugu yake pia wote hamjui aliko!!
Nipo, friends..mzima wa afyaSote hatujui tume muachia Mungu tu now
Nipo, friends..mzima wa afya