supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Na wewe pia..kwani kuna pilau au nyama au chochote kilichobakia unialike nije??[emoji1][emoji1]Oooh afadhali, heri ya mwakampya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe pia..kwani kuna pilau au nyama au chochote kilichobakia unialike nije??[emoji1][emoji1]Oooh afadhali, heri ya mwakampya!
Hicho sasa kingekuwa ni zaidi ya kiporo.Na wewe pia..kwani kuna pilau au nyama au chochote kilichobakia unialike nije??[emoji1][emoji1]
Nipo hapa napiga kiporo cha ugali wa jana, kiporo kinatoa kitambi na ni kizuri kinakaa sana tumboni[emoji1] [emoji1]Hicho sasa kingekuwa ni zaidi ya kiporo.
Ni nini mbaya, kutuweka roho juuNipo, friends..mzima wa afya
Yaani wewe, heri ya mwaka mpya ndugu!! Sio vizuri kidogo tuanze kupita na mabangoNipo na brother hance mtanashati tunakula bata[emoji1] [emoji1]
cc sakayo
cc iceman 3D (my brother)
cc mamaafacebook II (mjukuu wangu)
Umemuona supermarket lakinii, Nashukuru kwa jitihada zakoAaah
Ki ukweli nimefanya jitohada zote imeshindikana
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Umemuona supermarket lakinii, Nashukuru kwa jitihada zako
Bro si kwa kupotea huko ndugu yangu!.Nipo na brother hance mtanashati tunakula bata[emoji1] [emoji1]
cc sakayo
cc iceman 3D (my brother)
cc mamaafacebook II (mjukuu wangu)
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kweli shikamoo januari, tutasifia hadi mwarobaini.Nipo hapa napiga kiporo cha ugali wa jana, kiporo kinatoa kitambi na ni kizuri kinakaa sana tumboni[emoji1] [emoji1]
-ukila kiporo asubuhi ndo mpaka jioni hiyo unakula mkate tu bas.
-Napenda kiporo cha pilau nyama[emoji39] [emoji39]
Hanaga maneno meengi, ila ameeleweka[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Daah!! Jamaa kanitoa jasho huyu halafu ana kuja na msg simple tu
Eti nipo!
Hatari kweli
We hukupaniki bwana acha kujisingizia babaaBro si kwa kupotea huko ndugu yangu!.
Yaan umeleta panic sana
Wamebadili ID na AVATAR zao msihofu...Hata mimi mmenitaja hapo pasipo kunifahamu....
PAMOJA
Vipi kuhusu ndugu yangu "MwanaDiwani" naye baada ya uchaguzi kapotea.Wadau kuna member humu huwa na michango sana na hufanya jukwaa kuwa zuri sometimes au baya sometimes ila kuna hali fulani ya kusahaulika mapema mno je mada zao wanazochangia zinawafanya wawe maarufu zaidi kwa kutajwa tajwa kuwaquoted n.k ila akipotea like mwezi mmoja hivi ana sahaulika kabisa, na akirejea watu hustushwa kabisa...kana kwamba ni mgeni
Mfano: Nyamayao ,
King'asti maudhurio yake si mazuri tena ,
Kongosho , haeleweki
Rejao , Siasa zilimshinda karejea kijijini
zombe , nadhani kastaafishwa kazi
Superman mzee wa Siri za Familia huyu nadhani majukumu yamembana
Le Mutuz ,
NasDaz Mzee wa Darhotwire ,
figganigga mzee wa mia
Rutashubanyuma huyu nafasi yake imechukuliwa na Ruttashobolwa
MaxShimba au ndo kazama jukwaa la dini
Kiranga nadhani aliaga na keshasahaulika tayari ,
Kuna Malaria Sugu huyu alijiapiaza kutorejea tena jf japo nae alipigwa lifeban
Lizee Mwanakijiji tokea alivyoanza kuwa na mawazo ya kizee ya ajabu watu wanampotezea kabisa..
kuna gfsonwin huyu akija leo basi hadi mwezi uishe
Watu8 huyu sijui tuseme tu rip?
na yule Bishanga ndio kabisa last seen yake ni 2014
Invisible pia sioni michango yake this days sijui nini kimempata - kimsemo chake cha (Ficha Upumbavu wako)
wengine nikiwakumbuka nitawataja
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]We hukupaniki bwana acha kujisingizia babaa
Hehee[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Leo mbona una nipinga kila kitu, tatizo nin mam!?
HahahaHehee
Usijali bwana, kawaida tuu
Hamna bwana, nilikumiss tu si unajua tena jamaniiHahaha
Sema bhana tuyajenge we're familly
Hahaa!!Hamna bwana, nilikumiss tu si unajua tena jamanii