Tangazo la Kupotea kwa Members wengine wa JF

Tangazo la Kupotea kwa Members wengine wa JF

Hicho sasa kingekuwa ni zaidi ya kiporo.
Nipo hapa napiga kiporo cha ugali wa jana, kiporo kinatoa kitambi na ni kizuri kinakaa sana tumboni[emoji1] [emoji1]
-ukila kiporo asubuhi ndo mpaka jioni hiyo unakula mkate tu bas.
-Napenda kiporo cha pilau nyama[emoji39] [emoji39]
 
Nipo na brother hance mtanashati tunakula bata[emoji1] [emoji1]
cc sakayo
cc iceman 3D (my brother)
cc mamaafacebook II (mjukuu wangu)
Yaani wewe, heri ya mwaka mpya ndugu!! Sio vizuri kidogo tuanze kupita na mabango
 
Umemuona supermarket lakinii, Nashukuru kwa jitihada zako
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Daah!! Jamaa kanitoa jasho huyu halafu ana kuja na msg simple tu
Eti nipo!
Hatari kweli
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wameenda kumtafuta kijana wa mbowe saa tisa
 
Nipo hapa napiga kiporo cha ugali wa jana, kiporo kinatoa kitambi na ni kizuri kinakaa sana tumboni[emoji1] [emoji1]
-ukila kiporo asubuhi ndo mpaka jioni hiyo unakula mkate tu bas.
-Napenda kiporo cha pilau nyama[emoji39] [emoji39]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kweli shikamoo januari, tutasifia hadi mwarobaini.
 
Wadau kuna member humu huwa na michango sana na hufanya jukwaa kuwa zuri sometimes au baya sometimes ila kuna hali fulani ya kusahaulika mapema mno je mada zao wanazochangia zinawafanya wawe maarufu zaidi kwa kutajwa tajwa kuwaquoted n.k ila akipotea like mwezi mmoja hivi ana sahaulika kabisa, na akirejea watu hustushwa kabisa...kana kwamba ni mgeni

Mfano: Nyamayao ,
King'asti maudhurio yake si mazuri tena ,
Kongosho , haeleweki
Rejao , Siasa zilimshinda karejea kijijini
zombe , nadhani kastaafishwa kazi
Superman mzee wa Siri za Familia huyu nadhani majukumu yamembana
Le Mutuz ,
NasDaz Mzee wa Darhotwire ,
figganigga mzee wa mia
Rutashubanyuma huyu nafasi yake imechukuliwa na Ruttashobolwa
MaxShimba au ndo kazama jukwaa la dini
Kiranga nadhani aliaga na keshasahaulika tayari ,
Kuna Malaria Sugu huyu alijiapiaza kutorejea tena jf japo nae alipigwa lifeban
Lizee Mwanakijiji tokea alivyoanza kuwa na mawazo ya kizee ya ajabu watu wanampotezea kabisa..
kuna gfsonwin huyu akija leo basi hadi mwezi uishe
Watu8 huyu sijui tuseme tu rip?
na yule Bishanga ndio kabisa last seen yake ni 2014
Invisible pia sioni michango yake this days sijui nini kimempata - kimsemo chake cha (Ficha Upumbavu wako)
wengine nikiwakumbuka nitawataja
Vipi kuhusu ndugu yangu "MwanaDiwani" naye baada ya uchaguzi kapotea.
 
Back
Top Bottom