Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,080
- 1,452
⚠️ TAARIFA YA MTOTO ALIYEPOTEA ⚠️
Tunaomba msaada wa wananchi wote.
Mtoto anayeitwa EDITHA ERICK ameripotiwa kupotea tangu juzi saa 1 usiku na mpaka sasa bado hajapatikana.
📍 Maeneo aliyopotelea:
Wilaya ya Hai, Kata ya Bomang'ombe.
Kwa yeyote atakayemuona au kuwa na taarifa zozote zinazoweza kusaidia kumpata, tafadhali toa taarifa haraka kupitia namba ifuatayo:
📞 0746624003
Tunaomba sana ushirikiano wa kila mmoja. Tafadhali sambaza taarifa hii kwa wengine ili iweze kuwafikia watu wengi zaidi.
Huenda taarifa yako ikawa sababu ya mtoto huyu kupatikana salama.
🙏 Tafadhali share kwa wingi.