Unaongea Sana mkuu hakuna msingi katika elimu ya Tanzania unaompa namna ya kujua masoko kwa kazi hizo. Ingekuwa hivyo asingeomba ushauri.
Kitu kinachowafanya wabongo kwa kozi za IT na multimedia kuomba kazi ni mtaji, wewe unadhani ukishakuwa graphics utaishi kwa kazi za mtandaoni Tu? Wanaweza hivyo tayari washa side hustle sasa unakuta mtu kama huyu ana ujuzi ila hawezi kujiuza kwa sababu kunahitaji pesa na yeye ndo anatafuta.
Mimi huwa nashauri MTU kulingana na elimu ya Tz ajiriwa Kwanza upate kujua kazi hiyo linaendeshwaje pia ma wakati huo unajikusanya jamaa Hana makosa kama mna nafasi ya kazi mpeni mnafikiri mambo ni Rahisi?
Mwingine anasema awe freelancer utadhani ni simple.
Ushawahi jiuliza MTU ana big profile lakini Hana client? Tatizo nini?
Kuna road map lazima aipitie huyu Jamaal mpaka atoboe.