E EITCB New Member Joined Oct 9, 2020 Posts 3 Reaction score 0 Dec 13, 2023 #1 SIFA 1. Awe mkazi wa Dar es Salaam, 2. Awe na stashahada ya fani ya uhasibu, 3. Awe na uzoefu wa kufanya kazi katika kampuni binafsi kwa angalau miaka 2, 4. Awe kijana wa kiume (Nafahii hii ni kwa kijana wa kiume pekee) Naomba tutumie CV yako kwa baruapepe; eitcbengineering@gmail.com kabla ya tarehe 20 December 2023.
SIFA 1. Awe mkazi wa Dar es Salaam, 2. Awe na stashahada ya fani ya uhasibu, 3. Awe na uzoefu wa kufanya kazi katika kampuni binafsi kwa angalau miaka 2, 4. Awe kijana wa kiume (Nafahii hii ni kwa kijana wa kiume pekee) Naomba tutumie CV yako kwa baruapepe; eitcbengineering@gmail.com kabla ya tarehe 20 December 2023.
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,454 Reaction score 11,029 Dec 13, 2023 #2 Wahasibu kuna jambo lenu huku.