AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Wakianza hadithi za fuata kazi kwanza,usiulize malipo usihangaike nao.Malipo/ujira/mshahara siyo uchawi kwamba ufichwefichwe.Maslahi yenu mmeeleza ila ya huyo mwajiliwa Sioni
Nchi hii ishalogwa yani mtu anaamini makaratasi kuliko uhalisia!!! ShameKweli Tanzania bado tupo nyuma sana. Vyeti avifanyi kazi angalieni wachina wanavyo tafuta wafanya kazi. Kwenye kampuni zao