Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Sukuma gang waendeleee kuponda tena
 
Kwani si
Kuna Ile nyongeza ya mshahara inayokuwa inaongezwa kwenye hiyo 700k na kifika kwenye 800k+ au mimi sijaelewa vizuri mkuu ?
 
Yes sis ni wa actuaries pia naweza kufanya kwenye insurance company sema ndo ivo broo
A
 
Uko org gani mkuu?

Niko kwenye NGO Mkuu,

Ila huku sio kwa kukimbilia wala kutamania sana kuliko serikalini, job stability and assurance ni asilimia 40/100.

Binafsi natamani nitoke huku niende gov walau walau hata kwa hii miaka michache niliyobakiza.

Serikalini privilege na security ni nyingi sana, I got experience from my colleagues.
 
Wewe afadhali uko hatua kadhaa, wengine ajira portal inasema FAILED wakati profile iko full charge
Hili tatzo limenipata Mimi, Yani kwenye tangazo la kazi sifa zilizoorodheshwa zote ninazo na zinaendana na zilizopo kwenye profile yangu, ila nikiclick apply inanambia FAILED

Sijui shida ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…