Tangazo la Nafasi za Kazi - Mtendaji wa Mtaa (Nafasi 2)

Tangazo la Nafasi za Kazi - Mtendaji wa Mtaa (Nafasi 2)

Joined
Jul 19, 2023
Posts
8
Reaction score
33
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amepokea kibali cha kutekeleza Ikama
na Bajeti kwa Ajira mpya katika mwaka wa Fedha 2022/2023 yenye Kumb. Na. FA.97/228/01’TEMP’/06 ya tarehe 06 Aprili, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Hivyo Mkurugenzi wa Jiji Dar es Salaam anawatangazia Wananchi wote wenye sifa kuomba nafasi hizo.
 

Attachments

Back
Top Bottom