Asante sana na hii ni mara ya tatu tumefanikiwa kuwaunganisha watu hapa JF na ndoa zao ziko kwenye afya nzuriFaza watu hawaendi na wakati, ushenga siku hizi umerajisishwa mno. Nashindwa kujua kwanini wameshindwa kufikiria kwamba kwa kaliba yako, hauwezi kuleta jambo kama hili kwenye kadamnasi bila kuwa na sababu iliyoshiba.
Ufanikishe kwa amani na ufanisi wa hali ya juu hili jukumu adhimu mkuu.
Una namba zake ni jaribu bahati yangu?ππMwanaume mwenyeji wa Mwanza.. Ni mjasiriamali
Taarifa rasmi... Hatimaye aliyejitokeza wa kwanza amekidhi vigezo na mchakato wa kufahamiana unaenda vizuri... Mawasiliano yamefanyika kwa simu.. Asante sana kwa wote mlioshiriki
Moderator, JamiiForums naomba uzi ufungwe rasmi
Ngoja nicheki nayeUna namba zake ni jaribu bahati yangu?ππ