Tangazo la vodacom "nimeshinda nimeshinda"

Danyel mweusi

Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
81
Reaction score
19
Lile la taarifa ya habari "Nimeshinda nimeshinda"
yule dem anaweza kuwa kabila gani?
Maon si matusi
 
hilo tangazo first day kulisikia redio one.
I was like hawa mbona hawako siriaz na kazi?wanakatisha taarifa ya habari kwa upuuzi.
Nliwamind kinoma.
Siku nlikuja kujua nilipolisikia tena magic na clouds.
Kupeleleza ndo tangazo.
Dah
 
Katika tangazo ambalo silipendi ni hilo.yn nikilisikia au kuliona..natoa fasta kabla sijasikia lile neno nimeshindaa...yn unadhn ni news kumbe upuuzi
 
Hakuna tangazo baya kama hilo toka nchi ya Tanganyika kupata Uhuru!
 
Silipendi hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ha ha ha basi Voda wametimiza lengo...ile tu kujadiliwa hapa,tayari n mafanikio ya kile walichodhamilia kuifikishia jamii
 
Yule dogo anayesoma taarifa ya habari ni kijana wa ruge kwenye tamthilia yake ya 69 records ana act kama mlinzi kuna tetesi ruge kala cha juu kwa udalali wa tangazo...jamaa mbaya kwa fursa anakaba hadi penati.
 
kwenye radio ni sauti ya wasiwasi mwaburambo
 

Mwenyewe nawaza atakuwa mchaga

mmmh mwanamke hajanoga kavaa suti ya kishambaaa balaaa.
Uje kwa mwanaume duh cjui wamewatoa kishumundu

ivi nyie ma-balaa mnatuonaje wachaga, mbona kama mnatudere sana aisee, ndo kama mmeona mademu wa kichagga ni washamba sana au? hakuna mademu wakali Tz kama wachagga, ndo maana wanaume wengi wanawapapatikia kwa shep, tabia, uchapakazi, na akili za maana sio vishowia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…