Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee najaribu kupata picha ya shape.ivi nyie ma-balaa mnatuonaje wachaga, mbona kama mnatudere sana aisee, ndo kama mmeona mademu wa kichagga ni washamba sana au? hakuna mademu wakali Tz kama wachagga, ndo maana wanaume wengi wanawapapatikia kwa shep, tabia, uchapakazi, na akili za maana sio vishowia.
endelea kuitafuta tu ukiipata uje utupe feedback, wanabamba ni kinyama.aisee najaribu kupata picha ya shape.
ivi nyie ma-balaa mnatuonaje wachaga, mbona kama mnatudere sana aisee, ndo kama mmeona mademu wa kichagga ni washamba sana au? hakuna mademu wakali Tz kama wachagga, ndo maana wanaume wengi wanawapapatikia kwa shep, tabia, uchapakazi, na akili za maana sio vishowia.
Wamefilisika ubunifu haoVoda ktk matangazo ubunifu ziro.
Ziro kubwa kweli kama kichwa cha mtu.Is it really realistic in life mtu yuko studio anatangaza habari halafu ghafla from nowhere mtu anapiga makelele "Nimeshinda! Nimeshinda!Voda ktk matangazo ubunifu ziro.