Tangazo la vodacom "nimeshinda nimeshinda"

Tangazo la vodacom "nimeshinda nimeshinda"

Lile kwenye tv raha sana ila redioni mmmhh.....
 
ivi nyie ma-balaa mnatuonaje wachaga, mbona kama mnatudere sana aisee, ndo kama mmeona mademu wa kichagga ni washamba sana au? hakuna mademu wakali Tz kama wachagga, ndo maana wanaume wengi wanawapapatikia kwa shep, tabia, uchapakazi, na akili za maana sio vishowia.
aisee najaribu kupata picha ya shape.
 
Siku ya kwanza kuliona kwenye tv nilishituka kidogo nidondoke kwa presha.
Nililaani sana nilivyogundua ni tangazo.!
 
Nalipenda sana hasa yule dada anayesakata rhumba pale kizani na sauti yake anaposema'nimeshinda yoooh!'

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mie mara ya kwanza nilichukia nikasema hivi hiki nini!!!!!!

siku hizi nalipenda hivyo hivyo cos watoto home wanapendaga kurudia
ile sehem ya nimeshinda!!!!!!
 
Yaan linanikeraaaaaaa.
Likianza tu nabadil station,
Hawajui tu,make ile cku ya 1 kulickia nkajua breaking news then nkapay atention,walipokatsha thn nkajua tangazo duh..ril bored.
 
ivi nyie ma-balaa mnatuonaje wachaga, mbona kama mnatudere sana aisee, ndo kama mmeona mademu wa kichagga ni washamba sana au? hakuna mademu wakali Tz kama wachagga, ndo maana wanaume wengi wanawapapatikia kwa shep, tabia, uchapakazi, na akili za maana sio vishowia.

mmh,wachaga..!?
Na magauni yao ya mikanda shngoni duh!
Bora hata wasukuma.
 
Lakin ile bonge ya idea maana inafanya una pay attention mwisho wasiku unakuja jua kumbe wanazingua, na lengo lao ndo hapo ninapotimia na Manka pembeni
 
Lakin ile bonge ya idea maana inafanya una pay attention mwisho wasiku unakuja jua kumbe wanazingua, na lengo lao ndo hapo ninapotimia..
 
Yule mdada wa mochi kabsaaaaa!!halafu namfananishaga sana na mdada fulani katika taasisi moja ya kutunza fedha maeneo ya mbezi beach....nalipenda tangazo lake linakufanya u pay attention.......
 
Uwiii hatimae mmelitoa, nilidhani mimi peke yangu ndo halinifurahishi, hahaa kweli majanga
 
Zantel huwa na matangazo mazuri sna yenye kuvuta utayari wa mtazamaji,lile la voda bora wangeweka hata vikaragosi ningewaelewa.
 
yule demu anaitwa Mage, amecheza movie moja na Hemed inaitwa Matilda, dah yule anajua kuringa, na kudeka yani ana swaga za mademu wa kishua ! one day tulikuwa naye south beach!! ametulia sana kiukweli!!
 
Voda ktk matangazo ubunifu ziro.
Ziro kubwa kweli kama kichwa cha mtu.Is it really realistic in life mtu yuko studio anatangaza habari halafu ghafla from nowhere mtu anapiga makelele "Nimeshinda! Nimeshinda!
Waombe msaada Zantel maana hawa matangazo yao yamejaa mvuto sana.Lile la jamaa kutamba eti ameitwa 'bebi' na girl

friend mzungu linanipa raha sana!
 
Zantel bana wanatafuta kuteka soko kama wenzao thats y wanabase kwenye matangazo makali Voda wamerishika ndo maana wanafanya utani
 
Yule msichana ni mnyiramba binamu yake na Lameck Madelu.
 
Back
Top Bottom