Nimekosa sifa moja tu, sio mzunguWana JF lero hii katika gazeti la The Guardian kuna tangazo la mwaka. Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 36 ametoa tangazo la kutafuta mwanamume wa kizungu wa kuishi na/kuolewa na. Tangazo hilo la ukubwa wa robo hya karatasi linasema anayeweza masharti au taratibu alizoeleza apeleke maombi yake by tarehe 17/1/2013. Tutaona mengi mwaka huu!!:crazy:
Kuna uzi wa habari hii ulifunguliwa humu!