TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Nadhani ni strategy ya kibiashara ya the Guardian. Wameona haliuziki sasa wanataka kutumia Shing'ongo Style ku'boom' mapato.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF lero hii katika gazeti la The Guardian kuna tangazo la mwaka. Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 36 ametoa tangazo la kutafuta mwanamume wa kizungu wa kuishi na/kuolewa na. Tangazo hilo la ukubwa wa robo hya karatasi linasema anayeweza masharti au taratibu alizoeleza apeleke maombi yake by tarehe 17/1/2013.
Tutaona mengi mwaka huu!!:crazy:
Wee koma kabisa, muache dada yangu! Yuko so decent that she can't do such stupidity.Asije kuwa ni huyo bidada: Susan Mashibe (Tanzania) Founder and Executive Director TanJet Aviation
Susan Mashibe - Tafuta na Google