Tangazo lakutaka mume

Tangazo lakutaka mume

Nadhani ni strategy ya kibiashara ya the Guardian. Wameona haliuziki sasa wanataka kutumia Shing'ongo Style ku'boom' mapato.
 
Wana JF lero hii katika gazeti la The Guardian kuna tangazo la mwaka. Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 36 ametoa tangazo la kutafuta mwanamume wa kizungu wa kuishi na/kuolewa na. Tangazo hilo la ukubwa wa robo hya karatasi linasema anayeweza masharti au taratibu alizoeleza apeleke maombi yake by tarehe 17/1/2013.

Tutaona mengi mwaka huu!!:crazy:

TERABOVU
Nilisoma vibaya heading yako nikafikiri "TANGAZO LA KUKATA U*ME"! Yaani niliataka kuchanganyikiwa!
 
Back
Top Bottom