Tangazo lakutaka mume

Tangazo lakutaka mume

terabojo

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
215
Reaction score
45
Wana JF lero hii katika gazeti la The Guardian kuna tangazo la mwaka. Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 36 ametoa tangazo la kutafuta mwanamume wa kizungu wa kuishi na/kuolewa na. Tangazo hilo la ukubwa wa robo hya karatasi linasema anayeweza masharti au taratibu alizoeleza apeleke maombi yake by tarehe 17/1/2013.

Tutaona mengi mwaka huu!!:crazy:
 
Wana JF lero hii katika gazeti la The Guardian kuna tangazo la mwaka. Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 36 ametoa tangazo la kutafuta mwanamume wa kizungu wa kuishi na/kuolewa na. Tangazo hilo la ukubwa wa robo hya karatasi linasema anayeweza masharti au taratibu alizoeleza apeleke maombi yake by tarehe 17/1/2013. Tutaona mengi mwaka huu!!:crazy:
Nimekosa sifa moja tu, sio mzungu
 
Nimechekaje leo wajameni nilipoliona kwenye Guardian! Kweli anayepanda juu lazima atashuka chini....
 
She has reached the highest point of desperation!! kazi kweli kweli
 
Kuna uzi wa habari hii ulifunguliwa humu!
 
Hiyo tangazo ni la kweli hata mimi nimeliona kwenye gazeti la The guardian.

Tatzo dada zetu huwa wanajidanganya kuwa wazungu hawana shida na wote wana maisha mazuri.

Ondoen hiyo dhana kichwan jaman sio kwel. Kuna wabongo wanajua kucare hata hao wazungu wenu mnaowataka wakasome.

Nafkir ni frustrations na stress ndo zimemmfikisha hapo but kama akipata mtu wa ushaur nasaha hope atakuwa normal
 
hivi mwanamke akifika umri gani hajaolewa anakuwa na frustration lol. Mbona 36 kijana mbichi kbs
 
Wazungu wanaowataka hafai.wasipoangalia watakujakupandishwa mbwa.
 
Khaaa! eti... EX BOYFRIENDS NEED NOT TO APPLY!
NO GOLD DIGGERS!
Deadline 17.01.2013
Only shortlisted candidates will be contacted.
 
Hawa ndio wakiwa early and mid 20's hata salamu hawajibu... Nymbafu, akanunue mume it seems she has made a lot of money kwenye maisha yake.
 
Back
Top Bottom