Tangazo Maalum: Kwa Wana JF Tu!

Status
Not open for further replies.
Asante Maane kwa wasifu wa Mama Anne, nilimfahamu tangu akiwa Travel Agent pale Samora na Nina, imesaidia wengi. in short ni mtu wa watu na down to earth.
Pia familia ya Mzee kuanzia Mzee mwenyewe ni down to earth na watoto wake, nilisoma na baadhi yao Oyster-Bay primary na kukutana na baadhi yao Tambaza Sec, they are social and down to earth.
Mungu aibariki familia ya Mzee Malecela
 

Msimila Pasco kweli watoto wa huyu mzee ni social and down to earth ni sawa na watoto wa Nyerere nadhani kama ulisoma Tambaza basi bila shaka utamkumbuka Milton. Vipi unaendelaeje kwa sasa tokana na ajali ya pikipiki?.
 

Hiyo list imenikumbusha mbali sanaa.......asante sana Bill
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…