Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
FMES
imekuaje shekhe hii dili ya kazi?
mbona wengi wanaipigia kelele? je ina mushkeli wowote? na kwa mfano ikitokea mtu akapigwa changa la macho atakuona wapi umrudishie pesa yake?
.du kwa hiyo william ndo mrithi,kazi kweli kweli.
Tangazo maalumu, jamani changamkieni kazi hizi si za DECI!
Majuu hakulipi kabisa, watu wanaishi kwenye vichumba vidogo tena wanashea zaidi ya watu wawili au watatu... Kama umesoma, BONGO ni patamu kuliko huko majuu!Yale yale! Mtu huna kazi unatakiwa utoe chochote ili upate kazi, Sababu hiyo kazi iko mjuu.
......Kwi!kwi!kwi......baambie nyingie anazo NYU...... .....!
Nimeziweka zote nashangaa batu Habachangamkii tenda, hao Wazungu wote ni Masera wangu na ninajua hadi mitaa wanayoishi "Majuu"
Majuu hakulipi kabisa, watu wanaishi kwenye vichumba vidogo tena wanashea zaidi ya watu wawili au watatu... Kama umesoma, BONGO ni patamu kuliko huko majuu!
mazee unauwa hahahahahahahah wasiliana na nyu akupe dili
Hii ni barua toka kwa huyu mshikaji wangu, nimeipunguza punguza info muhimu, nafikiri utaelewa sababu otherwise yote yapo hapa chini:-
.Mhh haya mambo jamaniiiiiiiiiiiii...kwa nini isiwe bure wakati kuna kufanya kazi?FMES huyo dada ako au mshikaji wako mwambie hiyo USD 300 watalipa wakianza kazi...
yangu mawazo tuuuuuuuu
mie ananisikilizisha mpaka sasa hivi.....Namshukueu sana FMES niko majuu napiga kazi hahahahahahaah
Mpwa tuma zile $ 300 kabisamie ananisikilizisha mpaka sasa hivi.....
Hi,kuna fee ya dola mia tatu, mimi sifanyi lolote zaidi tu ya kuhakikisha kwamba una pass na unataka msaada, ninaku-connect una-deal nao mwenyewe, lakini ni lazima unifahamishe ili nimfahamishe huyu dada, aifuatilie fomu yako