Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Status
Not open for further replies.
FMES
imekuaje shekhe hii dili ya kazi?
mbona wengi wanaipigia kelele? je ina mushkeli wowote? na kwa mfano ikitokea mtu akapigwa changa la macho atakuona wapi umrudishie pesa yake?

ohooooooooooo!

Kalaga baho!
 
Yale yale! Mtu huna kazi unatakiwa utoe chochote ili upate kazi, Sababu hiyo kazi iko mjuu.
 
Tangazo maalumu, jamani changamkieni kazi hizi si za DECI!
 
Tangazo maalumu, jamani changamkieni kazi hizi si za DECI!

......Kwi!kwi!kwi......baambie nyingie anazo NYU......
icon10.gif
icon10.gif
.....!
 
Yale yale! Mtu huna kazi unatakiwa utoe chochote ili upate kazi, Sababu hiyo kazi iko mjuu.
Majuu hakulipi kabisa, watu wanaishi kwenye vichumba vidogo tena wanashea zaidi ya watu wawili au watatu... Kama umesoma, BONGO ni patamu kuliko huko majuu!
 
......Kwi!kwi!kwi......baambie nyingie anazo NYU......
icon10.gif
icon10.gif
.....!

Nimeziweka zote nashangaa batu Habachangamkii tenda, hao Wazungu wote ni Masera wangu na ninajua hadi mitaa wanayoishi "Majuu"
 
Majuu hakulipi kabisa, watu wanaishi kwenye vichumba vidogo tena wanashea zaidi ya watu wawili au watatu... Kama umesoma, BONGO ni patamu kuliko huko majuu!

Mazee unauwa hahahahahahahah wasiliana na NYU akupe dili
 
Wanamatumbi wenzangu wa JF. Haileti maana kuambiwa kuna kazi za kusaidiwa (tena kwa walalahoi) halafu utoe $300 kam aada!!! Hapa sioni msaada. Kwa kuwatahadharisha tafadhali kuweni makini, kuna wajanja wengi wanaibia watu kwa "miradi" ya namna hii, kwa maelezo yoote yaliyotolewa hapa siutofautishi huu msaada na network nyingine za kitapeli!! Kwa wanaotamani san akwenda ng'ambo kupitia hii network nawatakia kila lakheri lakini....hala hala mti na jicho!!
Mimi
 
Hii ni barua toka kwa huyu mshikaji wangu, nimeipunguza punguza info muhimu, nafikiri utaelewa sababu otherwise yote yapo hapa chini:-

Mhh haya mambo jamaniiiiiiiiiiiii...kwa nini isiwe bure wakati kuna kufanya kazi?FMES huyo dada ako au mshikaji wako mwambie hiyo USD 300 watalipa wakianza kazi...
yangu mawazo tuuuuuuuu
 
Mhh haya mambo jamaniiiiiiiiiiiii...kwa nini isiwe bure wakati kuna kufanya kazi?FMES huyo dada ako au mshikaji wako mwambie hiyo USD 300 watalipa wakianza kazi...
yangu mawazo tuuuuuuuu
.

Ukipata kazi si utaingia mitini.unacheza nini?
Respect
 
Namshukuru sana FMES niko majuu napiga kazi hahahahahahaah
 
kuna fee ya dola mia tatu, mimi sifanyi lolote zaidi tu ya kuhakikisha kwamba una pass na unataka msaada, ninaku-connect una-deal nao mwenyewe, lakini ni lazima unifahamishe ili nimfahamishe huyu dada, aifuatilie fomu yako
Hi,
This fee of 300$ have to be paid in advance or after job confirmation? I hope its NOT 419 scam!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom