Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Status
Not open for further replies.
imetulia kwa imani,unajua wasio na kazi au walionazo lakini bado wanataka zaidi wainue mapata watafuatilia hii kitu lakini iwe makini manake usd 300 mtaji mzuri tu kwa wamachinga kwa nyumbani Tanzania, wenye kutaka wapeni uwanja waserebuke.!
 
- So far so good, kwa wale mnaohangaika kunitumia E-mail ili niwape info, nimesema hivi kwa sasa mpaka hawa watu wangu watatu watakapopita ndio nitasema, ila for now sina mpango wa kutoa anymore info ingawa ninazo zote na nimeshaanza kuzifanyia kaazi,

- Samahani kwa usumbufu, I know the frustrations na emotions lakini subira yavuta heri, siwezi kuwaharibia ndugu zangu kwa kutoa ainfo zaidi, lakini so far so good na tuwe na subira kidogo. Hizo kelele za milango hazinizuzii kualala

Respect.

FMEs!
 
Hiyo inaweza kuwa scam. Ingekuwa vyema ukaweka contacts za huyo rafiki yako hapa ili wenye kutaka kuwasiliana nae wafanye hivyo direct.

Naogopa biashara yenye mtu wa kati na kupigiwa mapande mapande.

This's another form of the most RISKY BUSINESS!! If you are willing to take risk, then do it but try to minimize !!How are u goin' 2 minimize it? Try 2 review all suggestions zilizotolewa hapa then zi-digest!! Binafsi, naenda kwanza ku-take deep breath about it!!U know what, Sizani kama ukipata hizo contacts za huyo mtu ndo itakusaidia kujua integrity yake coz' utakuwa unawasiliana na mtu usiyemfahamu and s/he will have nothing to afraid kuwasiliana na wewe hata kama jamaa ni tapeli!! Find out kama ulishawahi ku-spend amount karibu sawa na hiyo (USD 300) kwa kitu ambacho hakikuwa more beneficial!! Kama ulishawahi, then hii nayo iweke kwenye hilo kundi provided hautakuwa severely damaged!! U know what i mean, don' take a loan for it, but if u have enough savings then try it!! Si watu wanatuma thousands of US dollars to Japan for magari wakati wanaemtumia hawamjui? Wengine wanaliwa, wengine wanafanikiwa!! Then, take it as an example of risky business!!
 
- So far so good, kwa wale mnaohangaika kunitumia E-mail ili niwape info, nimesema hivi kwa sasa mpaka hawa watu wangu watatu watakapopita ndio nitasema, ila for now sina mpango wa kutoa anymore info ingawa ninazo zote na nimeshaanza kuzifanyia kaazi,

- Samahani kwa usumbufu, I know the frustrations na emotions lakini subira yavuta heri, siwezi kuwaharibia ndugu zangu kwa kutoa ainfo zaidi, lakini so far so good na tuwe na subira kidogo. Hizo kelele za milango hazinizuzii kualala

Respect.

FMEs!

Na yule mtaalam wako wa IT, Vipi huna mpango wa kumleta hapa atuletee findings zake?

Masanilo, vipi matokeo ya PM yako kwa mkuu SHY?
 
Na yule mtaalam wako wa IT, Vipi huna mpango wa kumleta hapa atuletee findings zake?

Masanilo, vipi matokeo ya PM yako kwa mkuu SHY?

- Nilimuomba asizitoe tena kwa sababu ya hukumu nzito ambazo zilikuwa zimeshatolewa kabla ya facts.

- Otherwise, ninamuaminia sana na mambo ya IT huenda ni the best Tanzania nzima!

- Kwa wale ndugu zangu mnaoendelea kuni-beep kwa pembeni, naomba kusema tena kwamba, ni mpaka nitakapomalizana na watu wangu kwanza ndio nitataoa info zaidi, lakini nawaomba radhi kwa sasa kwamba siwezi, na sio kwamba ninawa-ignore kwa kutowajibu!

Respect.

FMEs!
 
Umelipa umeliwa. Period.

- Assumption! Ukienda kwenye Michuzi Blog, kuna tanagazo la bash la nyc, kwenye comments kuna mtu mmoja ametoa comments na jina lake, huyo ni mmoja wa washikaji ninaowajua walioenda US na hii kitu, kwa hiyo aliyeliwa hapa labda ni wewe ndugu yangu na hizi assumption zako ambazo ni blind kwa kukosa more info na facts, pole sana unajua shibe ni mwana malevya umeshiba kidogo tu basi umeshakuwa full of negative assumptions maana wewe sasa umeenda Europe na umepata mwenye njaa shauri yake, acha hizo!

- Otherwise, naomba kuwakumbusha wananchi wengi wanaoendelea kunitumia ujumbe kutaka more info, kwamba hilo zoezi nimelisitisha mpaka nitakapopata results mwenyewe kwanza, kwa sasa muda wa kuwajibu wote sina maana ni wengi mno na ni too overwhelming kwangu na very emotional pia maana message zingine ni so desparate zinatoa hata machozi, inasikitisha sana kuona Tanzania tuna wananchi wenye elimu nzito kama ninavyoona kwenye hizi message lakini hawana kazi za sector walizoendea shule, it is sad na some of this messages zinatisha sana!

Respect.

FMEs!
 
Ona chini hapa mfano wa utapeli unaohusiana na mambo ya VISA ambao nami nimetumiwa.

----- Forwarded Message ----
From: mr.mackleah_usa <mr.mackleah_usa@libero.it>
Sent: Wednesday, August 12, 2009 9:46:21 AM
Subject: immigrante notice

SD.JPG

(-USAFIS- U.S -VISA LOTTERY- PROMOTION),
(-United States Department of State,
(-National visa center),
(32)_ Rochester _(Ave),
(-Portsmouth,-(N-H),
03801-2909),
(www.us-green-card-lottery.orghttp://www.state.gov/)
(Case- Number,(SRC-87541-24698),Preferences- Categories:- (DV-DIVERSITY)

(Foreign- State- Chargeability:-Asia/-Pacific).

(Dear Lucky winner),

We- wish to- inform- you- that- you are- among- the- lucky -selected- winners of the (-U.S -Green- Card-) -(-Email ballot-) -lottery- program)- of the- (2008/09)- edition- conducted- on the- /18th/- of- December- (-/2008/).

(Details).
This e-mail ballot- visa- lottery- program was innovated- last- year- December by- (USAFIS),- This- is- the- 2nd- edition of the- program and its -designed to be- held- every- year, the- aims- and- objectives- of- the- program- is- to- give- free- visa's to citizens- of developing- countries- around- the world who wishes- to -travel to -(U.S- and start- a- new- life- and- work).

]In this innovated- program, no- registrations- were- being- made or required as the program- was- being- conducted- through- computer- draw- system of e-mail- random- extractions- from- world-wide- -registered- websites-).

In this -(2nd- edition of the program, two hundred and twenty five (225) U.S- visa's were- released and- (6.3)- million- e-mail addresses were- extracted from world- wide- registered- (web-sites- during the -(33)- days extraction- period- that ran from- (11.00)- AM- on DECEMBER- (1st, -(2008)- until- midnight, JANUARY, -1st- (2009)- for -(final selection), all extracted- email- addresses were- assigned- to- different- ticket- numbers for -representation- and- privacy for- (final- selection-)- through- (computer- draw- system-).

Your e-mail address- attached- to- ticket- number -(564-002-188)- drew- the lucky- number's which- subsequently- won- you- the (U.S- visa)- and we -are sending the winning- notification- directly- through the- selected- winning- e-mail address- which means- that- if you- receive- the- winning- notification- in your mail- box- that- you- have- been- selected- among- the- (lucky- winner's).

(Approximately)- One hundred- and- fifty- five- (155)- lucky- selected- winner's had been notified- through- their- selected e-mail addreses including you today- (Wednesday 12th- /08/- August 2009).

Case:- Number is- (-SRC-87541-24698)- Note- that your visa- winning- identification- Case- number- is your -(-PIN-CODE-)- to claiming- your- visa).

Your- visa- duration- is -(10)- years- multiple- entries- to- the- U.S, it is -renewable upon -expiration- and- it permits- you- to -work, study and- own- properties- in the -U.S). Your visa- type- permits- you- to- travel- to- (U.S with your spouse).

(Disqualification),
Any- selected- lucky- winner- from -the- following- countries- will be disqualified, this- is because- each- has- more- than- (50,000)- candidates in- the- (U.S):-Mexico-Brazil-Canada-Haiti-Columbia-Elsalvador-Jamaica-Poland-Peru-Korea-Dominican- Republic - Philippines - Pakistan - Vietnam- and -United - Kingdom- (-except- Northern- Ireland-).

(Visa- claim- details), Your- visa- winning- details- falls- within our- Asia/pacific- booklet -representative -office -as -indicated- in the- draw- system and we have- forwarded- your- (visa) -winning- details- to- our -(Asia /pacific)- processing- agent- for- the- processing of your- documents).

(FOR -YOUR- (VISA- FORM- AND- REQUIREMENTS), (CONTACT) (OUR- (ASIA/PACIFIC -AGENT)- VIA- THIS- (CONTACT- DETAILS),

(-MR.- MACK- LEAH-).
(PHONE):-+66-8-279-926-31).
(Fax):-026-98-745-19).
(EMAIL):-ussvc@usa-11.com).

(-Processing- Fee).
(-Single:- (-$890-).
(-Dual:- (-$1,420-).

(-what- is- processing- fee)?
The processing- fee (pays) for- the- (accuracy- preparation)- of your- documents that will- enable- you- to- obtain your- visa- through the- (U.S) -(Consular -officer in your- home- country. (-A green- card-)- expert- charges a nominal- fee to cover- administrative- and- processing -costs -incurred in conjunction- with- the- careful- processing- of- every- (document).

(According- to (J. Stevenson- Wilson), - (Author)- of -(Visa Lottery services Report),- the- total- average- fee- charged- by (green- card- lottery)- services- (US$890) for- one -person- and- (1,420) for -Family, there is- no- (correlation)- between- the- fee- charged- and the -quality- of- services- provided-).
(*Benefits*).
All- the- selected- lucky- winner's will- get (free- air- tickets) to the - (U.S)- Your air- ticket- will- be- send- to- you- by- our -(

Asia /pacific -agent) together- with your- processed- (documents).

(Please- read and- follow- all the- enclosed- instructions- very- carefully),
(Do not -reply- back to this- notification e- mail (busy)

(-Regard-),
(-Mr Jpaul-).
(-Secretary- General- US-

Consulate- Kentucky-).

- Assumption! Ukienda kwenye Michuzi Blog, kuna tanagazo la bash la nyc, kwenye comments kuna mtu mmoja ametoa comments na jina lake, huyo ni mmoja wa washikaji ninaowajua walioenda US na hii kitu, kwa hiyo aliyeliwa hapa labda ni wewe ndugu yangu na hizi assumption zako ambazo ni blind kwa kukosa more info na facts, pole sana unajua shibe ni mwana malevya umeshiba kidogo tu basi umeshakuwa full of negative assumptions maana wewe sasa umeenda Europe na umepata mwenye njaa shauri yake, acha hizo!

- !

Respect.

FMEs!

Nipo hapa Bongo naganga njaa tu rafiki yangu. Tatizo unayemdhania kuwa mimi siye. Anyway, I'll only be too happy to be proved wrong!! This is my wish.
 
Nipo hapa Bongo naganga njaa tu rafiki yangu. Tatizo unayemdhania kuwa mimi siye. Anyway, I'll only be too happy to be proved wrong!! This is my wish.

- Tanzania sio Bronx mkuu, nimekuambia punguza negative assumptions on thibgs you do not know, au unataka tuongelee ya utapeli mimi na wewe! Bwa! ha! ha! patatosha kweli hapa! Bwa! ha! Unahangaika bure mkuu na hizo multiple IDs, huwezi accomplish anything, tunajaribu kusaidia wananchi wenye shida, wewe huna sasa kaa pembeni, waachie wenye shida.

Respect.

FMEs!
 
Field Marshal acha usanii, kwenye hili umeshachemsha na umeshashtukiwa. Tuliza mpira ndugu asiyekubali kushindwa si mshindani.
 
Field Marshal acha usanii, kwenye hili umeshachemsha na umeshashtukiwa. Tuliza mpira ndugu asiyekubali kushindwa si mshindani.

- Tuliza kitenesi na assumptions, vipi hakuna jipya zaidi ya hizi za kawaida? I see i am having a lot of fun maana hizi zako ndio tunaita a starved information society, ndio maana wanaohusika na kujua huwa wanapeleka ndugu zao tu!

- angalia usije ukawa umejishitukia mwenyewe kwa kukosa info, Bwa! ha! ha! mimi ni msanii kuliko wewe, vipi ya magari ya Canada? Bwa! ha! ha!

Respect, anyways later!.

FMEs!
 
- Tanzania sio Bronx mkuu, nimekuambia punguza negative assumptions on thibgs you do not know, au unataka tuongelee ya utapeli mimi na wewe! Bwa! ha! ha! patatosha kweli hapa! Bwa! ha! Unahangaika bure mkuu na hizo multiple IDs, huwezi accomplish anything, tunajaribu kusaidia wananchi wenye shida, wewe huna sasa kaa pembeni, waachie wenye shida.

Respect.

FMEs!

Knowing you (not personally of course, but through your numerous posts) I'm not surprised to read this....

Let us focus on TNG (Tumkome Nyani Giledi)
 
- Tuliza kitenesi na assumptions, vipi hakuna jipya zaidi ya hizi za kawaida? I see i am having a lot of fun maana hizi zako ndio tunaita a starved information society, ndio maana wanaohusika na kujua huwa wanapeleka ndugu zao tu!

- angalia usije ukawa umejishitukia mwenyewe kwa kukosa info, Bwa! ha! ha! mimi ni msanii kuliko wewe, vipi ya magari ya Canada? Bwa! ha! ha!

Respect, anyways later!.

FMEs!

Na mimi wanijua? wewe nadhani ni mwalimu wa usanii au tuseme mission town uliyebobea.
 
Na mimi wanijua? wewe nadhani ni mwalimu wa usanii au tuseme mission town uliyebobea.

- Huwezi kuwa msanii kabla ya kuibia watu kwanza hela za gari, sounds familiar au? na kudai kampuni ya Mike ya biodiesel kuwa ni yangu! Bwa! ha! utapeli huwa tunazaliwa nao ndugu yangu, au?

i645_failed2.jpg

-Bwa ha ha ha ha ha
 
i645_failed2.jpg

-Bwa ha ha ha ha ha

Teh teh teh teh Unakumbuka zile nyimbo za jeshini? Kule kule kwa Chinova kule kule kule kule kwa chinova.......baba eeeh na mama ....malizia Yo Yo shem.....naona mzee mzima amebuma ameanza kufoka kwi kwi kwi....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom