Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Tangazo Maalum: Mradi wa Kazi Majuu!

Status
Not open for further replies.
fail.gif
 
Teh teh teh teh Unakumbuka zile nyimbo za jeshini? Kule kule kwa Chinova kule kule kule kule kwa chinova.......baba eeeh na mama ....malizia Yo Yo shem.....naona mzee mzima amebuma ameanza kufoka kwi kwi kwi....
Tatizo jamaa huwa hakubali kuchemka aisee,na ikitokea mtu kambana kwenye kona tu anaanza oooh we si fulani,mara mzee wa nini sijui,mara nakufahamu sana mze wa nanihiii,,,Hizi zote huwaga ni dalili za mzee mzima kuishiwa hoja..Maana inashangaza sana,huyu mzee anamfahamu kila mtu eti....Lol
 
Ha!ha!ha! ile PM yako alikujibu?

Ila Baharia kampiga mkono asilete findings hapa mpka kieleweke kwa wale jamaa zake watatu!

Hakujibu bwana nadhani Mzee mzima Kamanda wa Baharini amempiga mkwara hahahaha jamaa nasubiri aje na chorus zake wewe Masanilo najua uko Texas na ni secretary hahahahahah ukubwa wa pua kumbe si lazima kuwe na kamasi nyingi.....umenisoma? Nimemtumia SHY PM nyingine.

angalia usije ukawa umejishitukia mwenyewe kwa kukosa info, Bwa! ha! ha! mimi ni msanii kuliko wewe, vipi ya magari ya Canada? Bwa! ha! ha!

Hapa alibanwa mbavu akatoka kwa mtindo wake wa miaka ileeeee! teh teh
 
Ha!ha!ha! ile PM yako alikujibu?

Ila Baharia kampiga mkono asilete findings hapa mpka kieleweke kwa wale jamaa zake watatu!

Mkulu SHY nimewasiliana naye amekubali kuja kuweka wazi suala hili hapa JF. Anaandaa nondo za kitalaamu hata yeye hapendi wazalendo waibiwe....stay tuned
 
Mkulu SHY nimewasiliana naye amekubali kuja kuweka wazi suala hili hapa JF. Anaandaa nondo za kitalaamu hata yeye hapendi wazalendo waibiwe....stay tuned

Bora aje atuwekee wazi ipi pumba na upi ni mchele!
 
jamani, naomba nielekezwe namna ya kuipata hizo fomu mimi ninazo hizo dola 300 na passport ninayo pia
 
jamani, naomba nielekezwe namna ya kuipata hizo fomu mimi ninazo hizo dola 300 na passport ninayo pia

Hahahaha Mwanahawa hili si dili wala nini ni wizi.....subiri wataalamu wa IT watakuja weka wazi

Ila unaweza kuchukua risk kumwandikia huyu wakala mtuwameli@yahoo.com

Ila you have been warned!
 
- Huwezi kuwa msanii kabla ya kuibia watu kwanza hela za gari, sounds familiar au? na kudai kampuni ya Mike ya biodiesel kuwa ni yangu! Bwa! ha! utapeli huwa tunazaliwa nao ndugu yangu, au?

Respect.

FMEs!

Uliyoyaandika hapo juu ni habari iliyovunjikavunjika kwangu.

Anyway, wewe si mshindani kwa vile hukubali kushindwa. Kubali kuwa hili dili ni la uongo na ni la kutaka kuwaingiza Watanzania wenzio mkenge.

Kubali kuwa umechemsha yaishe acha longo longo nyingi ndugu.
 
Tatizo jamaa huwa hakubali kuchemka aisee

... Kubali kuwa hili dili ni la uongo na ni la kutaka kuwaingiza Watanzania wenzio mkenge.

Kubali kuwa
umechemsha yaishe acha longo longo nyingi ndugu.

Mapinduzi, Balantanda...

Ninavyojua "kuchemsha" ni kosa fulani la kutojua hivi, kama bahati mbaya fulani. Lakini mambo aliyofanya, let's say, Andrew Chenge, can you use the word "kachemka"?

Pre-meditated scam kama hii hatuwezi kusema akubali kachemka yaishe. Mtu amepanga "kuwaingiza wenzake mkenge" kama ulivyosema Mapinduzi, you don't call that kuchemka. Huyu alitaka ku kwiba, awe condemned!

Halafu mchongo wenyewe anataka kuujaribu JamiiForums, of all the places, kwa hiyo pia ana loose screws.
 
Ndugu wana mitandao mbalimbali haswa watanzania , sikupenda kuandika ujumbe huu wa kutoa ufafanuzi lakini nimelazimika kuandika ufafanuzi huu baada ya mmoja wa wadau kunishikia bango kwamba lazima niandike/niseme kitu kuhusu mradi wa kazi majuu , natoa pole kwa yeyote atakaye uthiwa au kuathiriwa kwa namna moja au nyingine kwa ukweli kupatikana pia sina interest yoyote katika mradi huu na mengine yote inayohusiana na hii .
 
Attachments

kwa mujibu wa kamanda fmes
- Otherwise, ninamuaminia sana na mambo ya IT huenda ni the best Tanzania nzima!
mtalaam shy sijui kama ni yeye alieandika maana naona kama kakopi kwa Mr Yona Maro...nae kasema
Craigslist Foundation ambayo tovuti yake ni www.craigslistfoundation.org Na mkutano
wa kwanza ulishafanyika wezi juni waka huu kutokana na habari ambayo iko kwenye tovuti hiyo
Barua ambayo nimeona nakala yake , inayoongelea mradi huu wa kazi ambapo
katika barua hiyo wameelekeza mtu kwenda www.craigslistfoundation.4t.com Kwa ajili ya
maelezo zaidi , ukweli ni kwamba Foundation hiyo haipo haitambuliki , katika tovuti
ya craiglist kwenyewe kuna tangazo la kutahadharisha watu kuhusu angalia mfano wa
foundation nyingine http://phoenix.craigslist.org/cph/wan/1327983029.html
ambayo kwa kiasi kikubwa inafanana na tangazo la kazi hapo juu .
Baadhi ya Taarifa zingine zinaweza kupatikana http://www.craigslist-scams.com/
Naona leo niishie hapa Poleni sana kwa wale wote waliosumbuliwa kwa namna moja
au nyingine na kadhia hiyo
13.AUG.
bwa ha ha ha ha kamanda mtaalam wako wa IT huyo keshaweka mezani.....baharia ushaingizwa town......
 
kwa mujibu wa kamanda fmes

mtalaam shy sijui kama ni yeye alieandika maana naona kama kakopi kwa Mr Yona Maro...nae kasema

bwa ha ha ha ha kamanda mtaalam wako wa IT huyo keshaweka mezani.....baharia ushaingizwa town......

Hahahhahahah bwa bwa bwa bwa ha ha ha ha...Asante sana shy Mungu akuzidishie wazalendo wasiibiwe huu ni wizi baharia amefulia hapa

Thank you Shy
 
Hii ilishaonekana ni scam toka mwanzo, ichukuliwe kama fundisho kwa wale ambao walikuwa hawafahamu utapeli wa aina hii. Jinsi jamaa alivyoitetea hii deal nashindwa kuamini kama si partner in crime. Inasikitisha kuona mtu anatake advantage ya watu ambao wako desperate kupata kazi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom