Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Hapa ni $ 300 hahahahahaha mambo mengine bwana nitaenda jimboni kwake na huu upupu!
So mzee ukisikia anakaribia kulamba jimbo, unaibuka ghafla kaa mshale vile na mradi wa majuu.....ha!ha!ha!ha!ha!ha!ha!aaaaa.......!
FMES: nilikushauri omba kina MBU waifunge hii thread, hakiyanani itakuletea soo.......!