Sasa mtume nyinginyingi basi hiyo fidia jamaniKwa kweli inabidi upewe tu.
Mkishakubaliana na dina na mwenyekiti wenu sakayo mtuambie ni nani atumiwe hiyo fidia ili haya mambo yaishe na PM zifunguliwe.
Hebu uniletee file lake nimfanyie upembuzi yakinifu
Hutachomoa betriii
Mnaanzaje kuhema eti 7800Basi mtatuhanganisha na hiyo pesa hatutahema mwezi huu.
Youngblood kuna haja ya kuongeza sauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona hizo taarifa sina mwambie aniletee mazawadi akirudi
Nakazia
Namba za wakala alipo mjumbe alopewa 7800 zipo mtapewaKwa kweli inabidi upewe tu.
Mkishakubaliana na dina na mwenyekiti wenu sakayo mtuambie ni nani atumiwe hiyo fidia ili haya mambo yaishe na PM zifunguliwe.
Mtoni kuogelea banaEbu ngoja kwanza mimi nimejua ulimaanisha ulaya uko au mtoni ya vipi
Wote mmebadilikaSiku hizi mdogo wako amebadilika sana
Kuna siku niliona unamuelekeza jamaa kuchomoa betriHata sijui wanachomoaje mimi mambo hayo siyajui
Mara nyingi namba za wakala huwa sizioni vizuri.Tutaweka namba za wakala hapa
Ushafungua piyemu???[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Na mie namuona
Sasa mtume nyinginyingi basi hiyo fidia jamani
Mimi naanzaje etiNaona sasa shemeji umeanza kunizushia
Mpaka sasa mjumbe yupo kwa anko! Anatafakari mkoba wa babu, nawahasa tuu mfanye haraka kumtumia nauliMara nyingi namba za wakala huwa sizioni vizuri.
Kwa hiyo fidia ikitumwa halafu ikikosewa msitulaumu sisi kwamba hatujatuma.
Mkumbuke tu mtalazimika kufungua piyemu
Sometimes ukiwa JF unaona kama vile duniani hakuna matatizo ni mwendo wa kucheka tu.!!Kwa kweli kajua kunichekesha[emoji23][emoji23]
Kwakweli hili suala limeiharibu taswira ya chama na ndugu wajumbe wa tawi la chama letu chama cha wanawake chitchat tuwaombe radhi.
Tunawaomba radhi mfungue pm zenu tuanze kuwarushia vilakilaki.
Kama nilivyo ahidi suala lipo kamati kuu hivi punde litawekwa wazi.
Hivi nauli ya mwanza si ni 50,000 tu?? 7,800 mnazo, hapo tutatuma 42,200Sasa mtume nyinginyingi basi hiyo fidia jamani