Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Kwakweli hili suala limeiharibu taswira ya chama na ndugu wajumbe wa tawi la chama letu chama cha wanawake chitchat tuwaombe radhi.

Tunawaomba radhi mfungue pm zenu tuanze kuwarushia vilakilaki.

Kama nilivyo ahidi suala lipo kamati kuu hivi punde litawekwa wazi.

Fanyeni haraka mtusuuze moyooo [emoji23][emoji23][emoji125]‍♀️
Katibu fanyia kazi hili swalaa
 
Back
Top Bottom