Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Fanyeni haraka mtusuuze moyooo [emoji23][emoji23][emoji125]‍♀️
Katibu fanyia kazi hili swalaa
Hahaha.!!
Watatusuuza Leo tu sababu tumeandamana after 1 week wanakuwa washasahau wanarudi kwenye 7,800/=..!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa kweli kikao kifanyike haraka kwa hati ya dharura...
Nimeshaomba likizo ya wiki nzima ili nipate wasaa muafaka wa kupitia ajenda na maazimio ya kikao. Naamini sitawaangusha
J. B. Comey
Mjumbe
(Dar es Salaam Wing)
 
Kama kuna mbavu za Mbuzi ama Kuku Choma mzima.... Piga.... Bili kwangu
 
Mtafute Mkuu mshana jr anatoa dawa ya ndere.
Mpwa za miaka aisee....
Nipigie debe na mimi ningoe kifaa humu ndani...Sitanii namaanisha Tokea nijiunge JF miaka kibao imepita sijawahi ona hata msg PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…