Ndugu katibu chama cha wanawake jf tunasikitishwa sana na mjumbe wako mmoja kumtumia memba mwenzetu nauli ya basi (Zuberi) 76000
Badala ya kumkatia tiket ya ndege angalau fastjet au Airtz
Katibu tulichosikitika zaidi ni kwamba akamkimbia baada ya kula mzigo na kisha hakumuachia chochote wala angalau nauli ya zuberi
Kingine Katibu namalizia ni swala la wajumbe baadhi kuchomoa betri inatufanya tuwe na hofu sanaa maana inaharibu image zetu kwa wale tulowalaghai
Kinachofanya wajumbe wako kuwa single ni masuala hayo ya kuchomoa betri ndio maana pm zimefungwaaa
Kingine Katibu cha mwisho tunawashukuru sana baadhi ya wajumbe wako kwa moyo wa kutuheshimu na kulinda privacy zetu kwa moyo mmoja nawaambia tunawapenda sanaaa na wajitajidi kutochomoa betri
Ni mimi Mjumbe machachari Toka chama cha wanawake waaminifu na wasiopenda hela Jf