Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Awali ya yote uongozi wa chama kikongwe jukwaani CC kinatoa radhi kwa changamoto zinazojitongeza jukwaani. Uongozi wa chama umekuwa ukifuatilia kwa kina na kufanya tathmini za dhati kabisa na hatua za awali zitachukulia.

Aidha, uongozi wa chama katika daftari lake la ukaguzi tumeendelea kupokea wanachama tele hasa wa jinsia pendwa na tunaipongeza timu yetu ya ukaguzi kwa kazi nzuri wanayofanya.

Dhumuni la andiko hili ni kuwajulisheni tumeskitika saana kuoneni katika updates za daftari la couple hadi kufikieni sasa couple ipo moja tu chamani ambayo ni Smart911 na mahondaw.

Kwa muktadha huo chama kinawatangazieni wanachit-chat wake na wale wa MMU kuwa majimbo yote yapo huru ispokuwa jimbo tajwa juu. Wanachama wa kiume wanaombwa watumie fursa hii vilivyo na hatutaki mchezo kwenye hili...pigana uwezavyo.

Aidha uongozi kwa haraka umewataka kuwafahamisheni pia:-

1. Wanachama wote wa kike kuacha milango yao wazi A.K.A PM- ni shurti sio ombi.

2. Wanachama wa jinsia pendwa wapya kujiandikisha mara moja kwa katibu na mwenyekiti kuanzia sasa. PM ya katibu na mwenyekiti zipo wazi 24/7. Hakuna excuses.

3. Nafasi ya katibu muenezi wa chama ipo wazi. Vijana changamkieni fursa tudumishe chama.

Asanteni tuendelee kukijenga chama.

Imetolewa na Katibu na mwenyekiti wa chama.
Sawa sawa kiongozi

Ngoja nitaanza kuzamia pm kwa wale ninaowazimikia.

Ila kuna wakati uzalendo ulinishinda nikaanza kwenda pm kwa warembo wawili tofauti nikakuta makufuli mazito na Kk security na electrified fancy.
Nilirudi nimeweka mikono kichwani!
Nilikoma kuingia pm.
 
Mimi kama Mwenyekiti, katibu na mweka hazina wa chama nawataarifu kutakuwa na kikao cha uongozi wa juu ambacho kitamshirikisha mwenyekiti, katibu, na mweka hazina maeneo ya Serena siku ya jumamosi saa saba na nusu mchana. Ntagharimia vinywaji na vyakula.
 
Back
Top Bottom