Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Sawa sawa kiongozi

Ngoja nitaanza kuzamia pm kwa wale ninaowazimikia.

Ila kuna wakati uzalendo ulinishinda nikaanza kwenda pm kwa warembo wawili tofauti nikakuta makufuli mazito na Kk security na electrified fancy.
Nilirudi nimeweka mikono kichwani!
Nilikoma kuingia pm.
 
Mh. Mwenyekiti kutokana na agenda tajwa hapo juu napenda kuwasilisha hoja ya kuhuzunisha kuwa 'couple za mafichoni ni nyingi sana na hazina idadi na hizi hufahamika tu pale muhusika mmojawapo akichomoa betri'. !!

Umenichekesha kijinga sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Zidumu milele couple za mafichoni.
 
Mimi kama Mwenyekiti, katibu na mweka hazina wa chama nawataarifu kutakuwa na kikao cha uongozi wa juu ambacho kitamshirikisha mwenyekiti, katibu, na mweka hazina maeneo ya Serena siku ya jumamosi saa saba na nusu mchana. Ntagharimia vinywaji na vyakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…