Chama hakina msalia Mtume kwa wanachama wa namna hii.Tumesikitika sana na Tumeumia sana...
Mpaka hapo tutakapofikia makubaliano..
7800 tuikemee kwa vitendo
Hewaala.Kwa niaba ya mwenyekiti, naomba nitowe rai na pole kwa wale wote walio jeruhiwa na swala la picha.
Pili nipende kusema kwamba jf inaonekana kuvamiwa na vijana wasio na adabu na wasio na hekma hata kidogo, hali iliyo pelekea kukosa staha na kufanya mambo ya ajabu tena yenye kuitweza jinsia yetu.
Binafsi naamini wengi wapo humu wanao fahamiana, na pia kutofautiana ni jambo LA kawaida hata huku kwenye familia zetu, sasa linapo kuja swala la utashi, pengine hata inapo tokea kijana akamtongoza mdada humu na kisha kijana huyo ikitokea amekataliwa basi isiwe nongwa maana unapo zoza kuna kukubaliwa ama kukataliwa.
Kuanika picha ya mtu humu pasipo ridhaa yake, hilo ni jambo baya tena baya sana
Ndugu mjumbe katiba ya chama inakunyima mamlaka ya kuhoji maswali ya Katibu mkuu.Ndg katibu mkuu, bila kupoteza muda naomba kupata muongozo wa kazi mahsusi ya picha nitakayokuwa nimegeuka nyuma.!!
Naunga mkono hojaHahahaa'
Kadhalilisha sana chama cha wanawake, Ni lazima hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yake...
Naomba adhabu yake iwekwe wazi kabisaa mwenyekiti!Chama hakina msalia Mtume kwa wanachama wa namna hii.
Uongozi wa chama unakemea kwa kauli zote.
Ndugu mjumbe vipi jimbo lipo wazi? Database ya chama inaonyesha jimbo jeupe hili
Zidumu fikra za Mh MwenyekitiUnafaa ukatibu uenezi.
Eneza ilani ya chama mjumbe.
πKwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakazia hapa
[emoji23]
Tuipinge 7800kwa vitendo!Zidumu fikra za Mh Mwenyekiti
Kauli mbiu: Achieni PM wazi
Kabisa, ni aibu sana kwa kitendo hicho na hatuwezi kukifumbia macho. [emoji4]Hakika
Na kuhakikisha mwanachama anapewa nauli atoke kwa anko wake
Na wengine couple zetu ni zao LA JF lakini mapenzi yetu yapo WhatsAppMh. Mwenyekiti kutokana na agenda tajwa hapo juu napenda kuwasilisha hoja ya kuhuzunisha kuwa 'couple za mafichoni ni nyingi sana na hazina idadi na hizi hufahamika tu pale muhusika mmojawapo akichomoa betri'. !!
Ngoja tusubili maamuzi ya juu kwanza.Ndugu mjumbe hili suala naombeni tusilijadili saana bado linashughulikiwa na kamati kuu ya chama.
Nikutoe wasiwasi tu chama bado kipo makini.. acha PM wazi.
hili liko wazi beibiπππππ
Waambie wasijisumbue kabisa manake tayari maji ya gundu kashanichukua,na bibi yangu Sky Eclat analijua hili japo babu Asprin hakufurahishwa sana na suala la 7800
ππ hatutaki mchezo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuipinge 7800 kwa vitendo
Babu amesema Chrismas hii tukaliombee gundu Bethlehem Asprinπππππ
Waambie wasijisumbue kabisa manake tayari maji ya gundu kashanichukua,na bibi yangu Sky Eclat analijua hili japo babu Asprin hakufurahishwa sana na suala la 7800
Dada 7,800 inatosha kilo ya steak π₯©Kwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
Kauli mbiu[emoji23][emoji23] hatutaki mchezo.
PM kuwa wazi ndio chanzo cha matatizo ya 7800