Jichangeni muhakikishe anapata nauli ndo turudi mezani kwa ajili ya mazungumzo...Kwa hiyo wajumbe wa jinsia ya kiume tujichange kuhakikisha nauli ya mwanza inapatikana ili angalau mfikirie kufungua piyemu??
Mchango tunatuma namba ipi??
cc: Nyete
Tuipinge kwa vitendo 7800Kabisa Sakayo huu ni unyanyasaji
NdiwoooWewe si mgonjwa jamani
Tumeumia sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fungua pm we mrembo
Arudi wapi etiAisee,mwambie mdogo wako arudi basi shemeji nitaongeza dau.
Kamati imekubaliana tufunge pmNimefungua jamani ila tabu napata mimi hivi ukifungua sijui wanajuaje nitapafunga muda si mrefu [emoji134][emoji134][emoji134]
EwaaaWacha weeh msemaji wangu haji manara wangu
😂😂😂😂Tumeumia sana
Wewe apoooMdogo wake gani eti
Ukichomoa betri nitaambia nini watu mimiUmeanza kumpiga chura teke eehhh....!!
Yaani, umeamua kuondoka penye gari la mshahara lilipo angukia sio...??
Anirudie.Arudi wapi eti
MatibabuAnaumwa na nini?
AnajisahaulishaWewe apooo
HahahahahahaAnirudie.
Alafu nasikia unaumwa eti huko kwenye carot umeendaje![emoji1787]
NashangaaA
Anajisahaulisha
Akinirudia nitaongeza dau usiwaze shemejiHahahahahaha
Asa nitakula ninii...
Na nyie ndo mnatoa 7800
Umeona eeehhA
Anajisahaulisha
Anza kuongeza saiviiiAkinirudia nitaongeza dau usiwaze shemeji
Hebu nisaidie basi,utapata donge nonoUmeona eeehh