Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Wanachomoa betri huko piyemu. Niliamua kuifunga aiseeSoon inatumwa namba natumai pm ipo wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanachomoa betri huko piyemu. Niliamua kuifunga aiseeSoon inatumwa namba natumai pm ipo wazi
Jamani jamanii
Umekwama wapiii
Sasa si inabidi fidia itumweEeeehhh
Umefungua tenaa
Kwa kweli kajua kunichekesha[emoji23][emoji23]Kwanini umenichekesha kwa sauti hivyo mbele za watu..???
Kwakweli hili suala limeiharibu taswira ya chama na ndugu wajumbe wa tawi la chama letu chama cha wanawake chitchat tuwaombe radhi.Ndugu katibu chama cha wanawake jf tunasikitishwa sana na mjumbe wako mmoja kumtumia memba mwenzetu nauli ya basi (Zuberi) 76000
Badala ya kumkatia tiket ya ndege angalau fastjet au Airtz
Katibu tulichosikitika zaidi ni kwamba akamkimbia baada ya kula mzigo na kisha hakumuachia chochote wala angalau nauli ya zuberi
Kingine Katibu namalizia ni swala la wajumbe baadhi kuchomoa betri inatufanya tuwe na hofu sanaa maana inaharibu image zetu kwa wale tulowalaghai
Kinachofanya wajumbe wako kuwa single ni masuala hayo ya kuchomoa betri ndio maana pm zimefungwaaa
Kingine Katibu cha mwisho tunawashukuru sana baadhi ya wajumbe wako kwa moyo wa kutuheshimu na kulinda privacy zetu kwa moyo mmoja nawaambia tunawapenda sanaaa na wajitajidi kutochomoa betri
Ni mimi Mjumbe machachari Toka chama cha wanawake waaminifu na wasiopenda hela Jf
Akhuu wewe sasa hivi jf imekuharibu umekuwa unaenda sawa na wachomoa betri wa jfBora umejileta mwenyewe,turudiane basi,wewe huoni wenzetu wanavyopaishwa hadi raha yani.
Anaumwa huyo akizidiwa mm ndio napata shida na nilimwambia unaumwa hivi nitakuona uko jf unazurula na kubebishanaAnaumwa na nini?
Kwahiyo kama kawaida na kuzurula kwako jf ukizidiwa unisumbue mimiNdiwooo
Kwahiyo unanishaurije etiKamati imekubaliana tufunge pm
Huyo mm simuwezi sasa hiviWewe apooo
Ujue niko na ugonjwa wa kusahauA
Anajisahaulisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha ubahili we mpare usipate sababu ebu tuma hukoHahaha nitume ya nini wakati hujaniambia nimeona tu Shunie anaongea