Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Tangazo muhimu kwa wanachama wa Chit-chat.

Ndugu katibu chama cha wanawake jf tunasikitishwa sana na mjumbe wako mmoja kumtumia memba mwenzetu nauli ya basi (Zuberi) 76000
Badala ya kumkatia tiket ya ndege angalau fastjet au Airtz
Katibu tulichosikitika zaidi ni kwamba akamkimbia baada ya kula mzigo na kisha hakumuachia chochote wala angalau nauli ya zuberi

Kingine Katibu namalizia ni swala la wajumbe baadhi kuchomoa betri inatufanya tuwe na hofu sanaa maana inaharibu image zetu kwa wale tulowalaghai
Kinachofanya wajumbe wako kuwa single ni masuala hayo ya kuchomoa betri ndio maana pm zimefungwaaa

Kingine Katibu cha mwisho tunawashukuru sana baadhi ya wajumbe wako kwa moyo wa kutuheshimu na kulinda privacy zetu kwa moyo mmoja nawaambia tunawapenda sanaaa na wajitajidi kutochomoa betri

Ni mimi Mjumbe machachari Toka chama cha wanawake waaminifu na wasiopenda hela Jf
Kwakweli hili suala limeiharibu taswira ya chama na ndugu wajumbe wa tawi la chama letu chama cha wanawake chitchat tuwaombe radhi.

Tunawaomba radhi mfungue pm zenu tuanze kuwarushia vilakilaki.

Kama nilivyo ahidi suala lipo kamati kuu hivi punde litawekwa wazi.
 
Back
Top Bottom