Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Nitaongeza mambo yakikaa vizuriAnza kuongeza saiviii
Hahaha nitume ya nini wakati hujaniambia nimeona tu Shunie anaongeaMatibabu
Usijetuma 7800
😡Nakazia na msimamo wetu upo pale paleKwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
Nitume ya nini wakati hujaniambia nimeona tu Shunie akiongeaMatibabu
Usijetuma 7800
Kwa sababu hii katuangusha sana huyu 7800Kwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
Naona unatafuta wa kumchomolea betri sio bure [emoji19]Ewaah, ni matumaini yangu hii pensheni niliyopata sintakula mwenyewe.
Idumu CC.
Zidumu fikra bunifu za viongozi wake.
Msalimie Jolie jolieKila kitu kinaibuka kwa msimu humu,
Kuna kipindi zinaibuka kapo mpya baada ya mda kunapoa kabisa...
Inabidi amepewe adhabu stahikiKwa sababu hii katuangusha sana huyu 7800
Sijakuona babake mtoto mzuri...Nitume ya nini wakati hujaniambia nimeona tu Shunie akiongea
Kabisaaa😡Nakazia na msimamo wetu upo pale pale
Kwa niaba ya vijana wangu wote, najitolea kufidia gharama zote na faini ya usumbufu.
Namba na iwekwe ili gharama zifidiwe haraka iwezekanavyo.
ANGALIZO:
Ucheleweshwaji wa kuwekwa namba unaweza kupelekea uahirishwaji wa fidia
MmmhhhNitaongeza mambo yakikaa vizuri
[emoji3][emoji3][emoji3] mimi mwenyewe nimemis sana mbebe wangu yule, sijui hata alipoMsalimie Jolie jolie
Shida yako unapoteaa sana jamaniHebu nisaidie basi,utapata donge nono
Jamani jamanii[emoji3][emoji3][emoji3] mimi mwenyewe nimemis sana mbebe wangu yule, sijui hata alipo
EeeehhhSoon inatumwa namba natumai pm ipo wazi
Kuna mtu nimeona kalike 😃Mpaka kikao kifikie makubaliano