Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutakivumilia kamweKabisa, ni aibu sana kwa kitendo hicho na hatuwezi kukifumbia macho. [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa niaba ya Ke kutoka Mwanza tunaomba kiwango kipande kidogo, hatukubali nauli na posho ya kujikimu ilipwe 78,800/= .
Pia bei ya masweta yaliyoandikwa TANZANIA ([emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]) ishuke hili linamhusu Mshana Jr ambaye ndie supplier wa huo mzigo.
Kumbuka mwanachama anatoka mwanza dada!Dada 7,800 inatosha kilo ya steak [emoji3052]
Hahaha,Kauli mbiu
Pinga 7800 kwa vitendo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuipinge 7800kwa vitendo!
Kauli mbiu
Hahahaa'😂😂😂 basi itabidi nikamshawishi xxxx tuyalete na huku
Hahaha,
Na lazima tuhakikishe hii #hashtag# inamfikia kila mwanachama hai.!!
[emoji91][emoji91][emoji91]Kwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
10 perfect ya nauli aliyotumaKwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
Daaahhh10 perfect ya nauli aliyotuma
😩Daaahhh
Tuipinge 7800kwa vitendo
Ni mimi Mjumbe machachari Toka chama cha wanawake waaminifu na wasiopenda hela Jf
Tutajadili hili kikao kijachoNdugu katibu chama cha wanawake jf tunasikitishwa sana na mjumbe wako mmoja kumtumia memba mwenzetu nauli ya basi (Zuberi) 76000
Badala ya kumkatia tiket ya ndege angalau fastjet au Airtz
Katibu tulichosikitika zaidi ni kwamba akamkimbia baada ya kula mzigo na kisha hakumuachia chochote wala angalau nauli ya zuberi
Kingine Katibu namalizia ni swala la wajumbe baadhi kuchomoa betri inatufanya tuwe na hofu sanaa maana inaharibu image zetu kwa wale tulowalaghai
Kinachofanya wajumbe wako kuwa single ni masuala hayo ya kuchomoa betri ndio maana pm zimefungwaaa
Kingine Katibu cha mwisho tunawashukuru sana baadhi ya wajumbe wako kwa moyo wa kutuheshimu na kulinda privacy zetu kwa moyo mmoja nawaambia tunawapenda sanaaa
Ni mimi Mjumbe machachari Toka chama cha wanawake waaminifu na wasiopenda hela Jf
Wacha weeeNaomba nitangaze hapa hadharani kwamba nineijaza nafasi yako mujarab kabisa....
😂😂😂😂 sawa DadaHahahaa'
Usithubutu hata kwa utani, in case hujanielewa vizuri narudia usithubutu.!!