Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uzembe wa kutokutofautisha mlio wa simu na alam ya saa kumi na moja
Kwa niaba ya vijana wangu wote, najitolea kufidia gharama zote na faini ya usumbufu.Na hasara juu ilipwee
Mchango unatumwa kwangu
Wewe si mgonjwa jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumeumia sana....7800
Ulivyo nifungia PM ulidhani nitakosa eehhh...!!??Wacha weee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Fungua pm we mremboKwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
All the way from Dar and Mza, Dom ndio half way....Yaelekea cutelove bado ni mtoto sana, hahahahah, angetuona magumegume tumpe triki. hahahahaahah.
Kwanza alitakiwa aivute hiyo njemba ije Mwanza sio yeye amfuate. hahahahahaha. Au kama vipi wakutane Dodoma
Kwa niaba ya wafunga pm nasema tumesikitishwa sana na 7800, hivyo pm zetu zitafungwa mpaka kikao cha maamuzi kitakapofikia makubaliano!!
Nimefungua jamani ila tabu napata mimi hivi ukifungua sijui wanajuaje nitapafunga muda si mrefu [emoji134][emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa unanifurahisha na comment zako wenye busara tele.
Ila Leo umenichekesha sana. Shunie Pia amefunga??
Wacha weeh msemaji wangu haji manara wanguKote kumefungwa ndugu mjumbe!
Mdogo wake gani etiAisee,mwambie mdogo wako arudi basi shemeji nitaongeza dau.
Umeanza kumpiga chura teke eehhh....!!Hahahahahaha
Kikao hakijafikia maamuzi dada usijali
thank me later..!!😂😂😂😂 sawa Dada
😀😀😀😀😀Ngoja kwanza ni update swaga zangu za kutongoza...
Bora umejileta mwenyewe,turudiane basi,wewe huoni wenzetu wanavyopaishwa hadi raha yani.Mdogo wake gani eti
Afadhali kwa kweli.Nimefungua jamani ila tabu napata mimi hivi ukifungua sijui wanajuaje nitapafunga muda si mrefu [emoji134][emoji134][emoji134]
Jukwaa la Pm lipo maeneo gani?Jukwaa la PM na liheshimiwe na watu wote
Anaumwa na nini?Wewe si mgonjwa jamani
Jukwaa la Pm lipo maeneo gani?