Car4Sale TANGAZO: Nauza Nyumba ya Vyumba Vinne Mbezi Boba, Kulangwa.

Professional Trader

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2016
Posts
1,220
Reaction score
1,120
Habarini wanajamvi..

Naombeni muhusike na kichwa cha habari hapo juu Ndugu Zangu

Nauza jengo la nyumba ya kisasa lenye vyumba vinne(4) liliopo maeneo ya mbezi, Goba ,kulangwa Dar es salam Tanzania

Jengo lina vyumba vinnez
-Master room moja
-Public toilet
-Jiko
-Store
-Sitting room
-Dining room ya kisasa

Eneo lake kwa ujumla
Upana squire metre 14 ×26

Eneo Lilipo gari linafika mbaka mlangoni kuna barabara za mitaa na Hali ya hewa na mazingira mubashara.

Bei yake ni Tsh 40,000,000/= maongezi yapo nipo tayari kuuziana sehemu yeyote ambayo panausarama wa kisheria

Karibuni muione wakuu kwa mawasiliano piga simu no.
0659254488
0688624299

Asanteni
 
ha ha ha ha ha iko upande wa kulia au kushoto ukienda madale
 
Yani ukununua hapo kesho unaletewa pira ha ha ha ha ha ha ha
Mbna mlopokaji wewe ujiheshimu basi kama hauwezi kuafford si uchune tu kwani kuna mpumbavu umu kama wew akanunue eneo bila ya kwenda kulifanyia utafiti wa kina kwan muheshimiwa kazuia watu kununua viwanja au majengo yaliyopo sehemu sahihi apo acha kujilopokea kizembe kwenye vitu vya watu utapigwa shaba ........
 
Goba kuna utapeli sana siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…