Car4Sale TANGAZO: Nauza Nyumba ya Vyumba Vinne Mbezi Boba, Kulangwa.

Car4Sale TANGAZO: Nauza Nyumba ya Vyumba Vinne Mbezi Boba, Kulangwa.

Upana squire metre 14 ×26

Hizi ni sqm au ni urefu na upana? Na hiyo 14*26 ni size ya kiwanja au size ya jengo?
 
Habarini wanajamvi..

Naombeni muhusike na kichwa cha habari hapo juu Ndugu Zangu

Nauza jengo la nyumba ya kisasa lenye vyumba vinne(4) liliopo maeneo ya mbezi, Goba ,kulangwa Dar es salam Tanzania

Jengo lina vyumba vinnez
-Master room moja
-Public toilet
-Jiko
-Store
-Sitting room
-Dining room ya kisasa

Eneo lake kwa ujumla
Upana squire metre 14 ×26

Eneo Lilipo gari linafika mbaka mlangoni kuna barabara za mitaa na Hali ya hewa na mazingira mubashara.

Bei yake ni Tsh 40,000,000/= maongezi yapo nipo tayari kuuziana sehemu yeyote ambayo panausarama wa kisheria

Karibuni muione wakuu kwa mawasiliano piga simu no.View attachment 615490
2e4d48ee07a703a7b355e51741fd9d17.jpg
c2274af08ec7cd4e4d223502b7ce8350.jpg
72092e9e4391fc485bb54d8afa8a39b5.jpg
0027998cb21ba9ab4a3d10340522baad.jpg
7d4bf85057f3fc289f61fe73c2acb9a2.jpg

0659254488
0688624299

Asanteni
Bomoa bomoa? Usije ikawa ulivamia kiwanja sasa Lukuvi anataka kufanya yake.
 
Hiyo ni nyumba au Boma?
 
Back
Top Bottom