Car4Sale TANGAZO: Nauza Nyumba ya Vyumba Vinne Mbezi Boba, Kulangwa.

Car4Sale TANGAZO: Nauza Nyumba ya Vyumba Vinne Mbezi Boba, Kulangwa.

Habarini wanajamvi..

Naombeni muhusike na kichwa cha habari hapo juu Ndugu Zangu

Nauza jengo la nyumba ya kisasa lenye vyumba vinne(4) liliopo maeneo ya mbezi, Goba ,kulangwa Dar es salam Tanzania

Jengo lina vyumba vinnez
-Master room moja
-Public toilet
-Jiko
-Store
-Sitting room
-Dining room ya kisasa

Eneo lake kwa ujumla
Upana squire metre 14 ×26

Eneo Lilipo gari linafika mbaka mlangoni kuna barabara za mitaa na Hali ya hewa na mazingira mubashara.

Bei yake ni Tsh 40,000,000/= maongezi yapo nipo tayari kuuziana sehemu yeyote ambayo panausarama wa kisheria

Karibuni muione wakuu kwa mawasiliano piga simu no.View attachment 615490
2e4d48ee07a703a7b355e51741fd9d17.jpg
c2274af08ec7cd4e4d223502b7ce8350.jpg
72092e9e4391fc485bb54d8afa8a39b5.jpg
0027998cb21ba9ab4a3d10340522baad.jpg
7d4bf85057f3fc289f61fe73c2acb9a2.jpg

0659254488
0688624299

Asanteni
hovyoooo.....huu ndio utapeli mubashara.. tuanzie hapa Je hiyo ni nyumba kwa akili zako timamu??? je kwa hatua iliyofikia hata nguruwe anaweza kuishi/kukaa hapo???? mjifunze kuandika matangazo ya biashara.. tangazo likikaa kiujanja ujanja hata biashara itakua ya kiujanja ujanja...vyuma vimekaza..ovaaaaaaaaaaaaaa..
 
Sawa noted mkuu
 
Vyuma vimekaza.

Hii lugha hutumiwa na wakulima huko usukumani walimao kwa plau.
 
Habarini wanajamvi..

S​

sawabho

Messages:
4,470​
Likes:
885​
Points:
280​
Liked:
912​
STAFF ONLINE NOW

FORUM STATISTICS

  • TOPICS1,081,463​
  • MEMBERS416,926​
  • POSTS23,819,656​
FACEBOOK
TWITTER
  • WHO ARE WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic. You are always welcome!
    Read more...
  • WHERE ARE WE?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually. For anything related to this site p​
Naombeni muhusike na kichwa cha habari hapo juu Ndugu Zangu

Nauza jengo la nyumba ya kisasa lenye vyumba vinne(4) liliopo maeneo ya mbezi, Goba ,kulangwa Dar es salam Tanzania

Jengo lina vyumba vinnez
-Master room moja
-Public toilet
-Jiko
-Store
-Sitting room
-Dining room ya kisasa

Eneo lake kwa ujumla
Upana squire metre 14 ×26

Eneo Lilipo gari linafika mbaka mlangoni kuna barabara za mitaa na Hali ya hewa na mazingira mubashara.

Bei yake ni Tsh 40,000,000/= maongezi yapo nipo tayari kuuziana sehemu yeyote ambayo panausarama wa kisheria

Karibuni muione wakuu kwa mawasiliano piga simu no.View attachment 615490
2e4d48ee07a703a7b355e51741fd9d17.jpg
c2274af08ec7cd4e4d223502b7ce8350.jpg
72092e9e4391fc485bb54d8afa8a39b5.jpg
0027998cb21ba9ab4a3d10340522baad.jpg
7d4bf85057f3fc289f61fe73c2acb9a2.jpg

Asanteni

Mkuu, sasa nyumba iko wapi hapo; hata kama nia yako ni nzuri lakini umeharibu kwa kutanguliza Uongo.
 
Back
Top Bottom