Tangazo: Ofisi ya Ardhi mkoa wa Iringa inagawa viwanja na mashamba eneo la Mji Mpya - Mgongo

Safi sana mods kwa kuboresha hiyo heading.
 
Mbona ni kama wana uza heka moja ya 70×70 kwa mchango wa 1500 per square meter ni kama 7.5m kwa irina hiyo pesa ni ndefu sana hapa pwani unapata heka kwa 5m tu
70×70=4900 huu ukubwa ni kama kiwanja cha mpira wa miiguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…