Tangazo! Tangazo! Tangazo.

Tangazo! Tangazo! Tangazo.

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Salam kwa nyinyi nyote wana jf. Jina langu naitwa Rwehumbiza. Nimemaliza chuo kikuu mwaka 2011 katika fani ya biashara nikijikita zaidi katika masuala ya ununuzi (materials management) na kufaulu vizuri masomo yangu, pia kabla ya hapo ufaulu wangu katika ngazi ya kidato cha nne na sita ni mzuri kwani nilipata daraja la kwanza (division one) kwa hvyo vidato vyote. Mpaka sasa nina uzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja katika masuala ya manunuzi na ugavi. Pia nimesajiliwa kwenye bodi ya wataalamu wa manunuzi na ugavi. Lengo la kuandika haya yote ni kujitangaza kwa makampuni na mashirika mbalimbali yaliyotayari kuniajiri ili nifanye kazi pamoja nayo. Kuanzia july mwaka huu mpaka sasa nimeajiriwa na kampuni flani hapa mjini dar es salaam lakini maslahi niyapatayo hayalingani na kazi nizifanyazo, na pia mwanzilishi wa kampuni analenga zaidi kuinua familia yake kwani ndo malengo yake makuu ya kuanzisha hii kampuni. Hivyo basi kwa kampuni au shirika lolote lililotayari kufanya kazi na mtu ambaye ni mchapa kazi, mpenda maendeleo, mwenye kujituma, na mwenye uzoefu katika vitendo, mawasiliano yangu ni 0684073794. Natumaini ya kuwa nitapata majibu chanya kutoka kwa waajiri.
 
Tutakufikiria samahani kama nikiuizi na hili swali ni moja ya interview Ulishawahi kuwa na mahusiano ya jinsia moja na kama hapana ukipendwa utakubali?
 
Tutakufikiria samahani kama nikiuizi na hili swali ni moja ya interview Ulishawahi kuwa na mahusiano ya jinsia moja na kama hapana ukipendwa utakubali?[/QUOT] hapana na sitakubali
 
Salam kwa nyinyi nyote wana jf. Jina langu naitwa Rwehumbiza. Nimemaliza chuo kikuu mwaka 2011 katika fani ya biashara nikijikita zaidi katika masuala ya ununuzi (materials management) na kufaulu vizuri masomo yangu, pia kabla ya hapo ufaulu wangu katika ngazi ya kidato cha nne na sita ni mzuri kwani nilipata daraja la kwanza (division one) kwa hvyo vidato vyote. Mpaka sasa nina uzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja katika masuala ya manunuzi na ugavi. Pia nimesajiliwa kwenye bodi ya wataalamu wa manunuzi na ugavi. Lengo la kuandika haya yote ni kujitangaza kwa makampuni na mashirika mbalimbali yaliyotayari kuniajiri ili nifanye kazi pamoja nayo. Kuanzia july mwaka huu mpaka sasa nimeajiriwa na kampuni flani hapa mjini dar es salaam lakini maslahi niyapatayo hayalingani na kazi nizifanyazo, na pia mwanzilishi wa kampuni analenga zaidi kuinua familia yake kwani ndo malengo yake makuu ya kuanzisha hii kampuni. Hivyo basi kwa kampuni au shirika lolote lililotayari kufanya kazi na mtu ambaye ni mchapa kazi, mpenda maendeleo, mwenye kujituma, na mwenye uzoefu katika vitendo, mawasiliano yangu ni 0684073794. Natumaini ya kuwa nitapata majibu chanya kutoka kwa waajiri.
kweli mhaya hajifichi kabisa
 
nilishawahi na nipo kwenye uhusiano wa wazi. Kwa hiyo la kupendwa sitakubali. Samahani nimesahau kuwambia pia kuwa mimi ni jinsia ya me.
haya yanahusika vp tena kwenye hoja hii!!!!!!!!!!!!!1
 
labda kama sijaelewa vizuri swali lake. Naomba unifafanulie vizuri nirudie kujibu.

SWALI:Tutakufikiria samahani kama nikiuizi na hili swali ni moja ya interview Ulishawahi kuwa na mahusiano ya jinsia moja na kama hapana ukipendwa utakubali
?

UKAJIBU:
nilishawahi na nipo kwenye uhusiano wa wazi. Kwa hiyo la kupendwa sitakubali. Samahani nimesahau kuwambia pia kuwa mimi ni jinsia ya me.

ALIKUULIZA KUWA UMESHAWAHI KUWA NA MAHUSIANO YA JINSIA MOJA?mfano mwanamke/mwanamke(lesibian) au mwanaume/mwanaume(shoga) its so offensive you know angalia sana uendako shida isikufanye uuze utu wako kuwa makini sana ,hili swali lilikuwa kwenye mada moja mwanajamii mwenzetu aliulizwa na moja ya vigezo vya hiyo kazi ni uwe umewahi kuwa kweny uhusiano huo .natumaini umenielewa mkuu
pitia mada hii hapa

Ajira TZ

Tutakufikiria samahani kama nikiuizi na hili swali ni moja ya interview Ulishawahi kuwa na mahusiano ya jinsia moja na kama hapana ukipendwa utakubali?

Majibu ya hapo yote ni HAPANA
 
SWALI:Tutakufikiria samahani kama nikiuizi na hili swali ni moja ya interview Ulishawahi kuwa na mahusiano ya jinsia moja na kama hapana ukipendwa utakubali
?

UKAJIBU:
nilishawahi na nipo kwenye uhusiano wa wazi. Kwa hiyo la kupendwa sitakubali. Samahani nimesahau kuwambia pia kuwa mimi ni jinsia ya me.

ALIKUULIZA KUWA UMESHAWAHI KUWA NA MAHUSIANO YA JINSIA MOJA?mfano mwanamke/mwanamke(lesibian) au mwanaume/mwanaume(shoga) its so offensive you know angalia sana uendako shida isikufanye uuze utu wako kuwa makini sana ,hili swali lilikuwa kwenye mada moja mwanajamii mwenzetu aliulizwa na moja ya vigezo vya hiyo kazi ni uwe umewahi kuwa kweny uhusiano huo .natumaini umenielewa mkuu
pitia mada hii hapa

Ajira TZ

Ooh, nilikuwa sijasoma vizuri swali lake. Siwezi na sitawahi kufikiria mahusiano ya jinsia moja. Kama kigezo ndo hicho cha kupata kazi hata kama ni ya ikulu niache niwe tu masikini. MUNGU ALITUAHIDI KUWA VICHWA BADALA YA MKIA SISI WOTE TUNAOMWABUDU.
 
Msaidieni kazi kama huna cha maana cha kumsaidia nenda chichat ukapost utumbo kwa vilaza kule.
 
Nimefuatilia majibu yako mwanzo mpaka mwisho nataka nikulize swali jingine kwako wewe kama unataka kazi lakini unaogopa kumkufuru mungu kwanini usiache kutafuta kazi badala yake uwe mchangaji au padri ili uweze kumtumikia mungu kwa ukaribu zaidi.
Ooh, nilikuwa sijasoma vizuri swali lake. Siwezi na sitawahi kufikiria mahusiano ya jinsia moja. Kama kigezo ndo hicho cha kupata kazi hata kama ni ya ikulu niache niwe tu masikini. MUNGU ALITUAHIDI KUWA VICHWA BADALA YA MKIA SISI WOTE TUNAOMWABUDU.
 
Ooh, nilikuwa sijasoma vizuri swali lake. Siwezi na sitawahi kufikiria mahusiano ya jinsia moja. Kama kigezo ndo hicho cha kupata kazi hata kama ni ya ikulu niache niwe tu masikini. MUNGU ALITUAHIDI KUWA VICHWA BADALA YA MKIA SISI WOTE TUNAOMWABUDU.
umesoma kweli hiyo post niliokulink kweli mkuu?
 
Back
Top Bottom