Tangazo toka kwa mwenyekiti manoah.

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Taarifa rasmi:
-Kuanzi sasa maombi ndoa yanapokelewa ofisini kwangu 24hrs, na yatashughulikiwa ndani ya dk arobaini na ndoa kufungwa.
-Ndoa zote zilizo kwenye migogoro, naomba hiyo migogoro ikome mara moja.
-KE wanaruhusiwa kuolewe mwisho mara nne, ( wake wa Bishanga hawaruhusiwi )
-me hawaruhusiwi kuoa na zaidi ya KE mmoja.

NDOA MPYA.
majany na Zion Daughter
Lucas unakaribishwa ofisini kuleta maombi yako na mapendekezo yako.

UPDATE

Mwenyekiti msaidizi ni sweetlady

Kamati ya maadili ni
majany
 
Last edited by a moderator:
Mama v hana ushirika na uenyekiti wa Baba V na mwenyekiti ni mwenyekiti mpaka pale wana cc wote watakapopiga kura kumuondoa. Mapinduzi yako manoah ni batili
 
Last edited by a moderator:
Hapana haiwezekani. Bishanga naomba muongozo na kuhusu taarifa..@my one and only is stevoh .Wengine siwajui kabisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…