Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
- #41
kazi ime mshinda huyo... aende akatunza chanda chema!
Mbona umekata tamaa mapema kihivyo?
Mbona umekata tamaa mapema kihivyo?
Ila haya mapinduzi ni ubakaji wa democrasia utapelekwa the hague
Taarifa rasmi:
-Kuanzi sasa maombi ndoa yanapokelewa ofisini kwangu 24hrs, na yatashughulikiwa ndani ya dk arobaini na ndoa kufungwa.
-Ndoa zote zilizo kwenye migogoro, naomba hiyo migogoro ikome mara moja.
-KE wanaruhusiwa kuolewe mwisho mara nne, ( wake wa Bishanga hawaruhusiwi )
-me hawaruhusiwi kuoa na zaidi ya KE mmoja.
NDOA MPYA.
majany na Zion Daughter
Lucas unakaribishwa ofisini kuleta maombi yako na mapendekezo yako.
UPDATE
Mwenyekiti msaidizi ni sweetlady
Kamati ya maadili ni majany
thubutuuu...........
hauna ruhusa ya kumtishia na kumnyima rahaa mke wangu kipenzii
chezeia Chairman eeh? utalia mda si mrefu
hapa ndipo nakuona haunifai wala sikukubali ng'oo sikupi hata sapoti na nitakuwa against you kwa nguvu zangu zote na naongoza mchakato wa kukupindua na kukupinga kwa nguvu zangu zote unataka unichukulie mke wangu kipenzi Zion Daughter umtoe sadakalawe??
Nimesema sikubali...
ntakupeleka kwa kakobe ukaombewe..
Katoto kanakomaa vibaya haka eti mwanamke uwe na wanaume 4. anatakiwa awe nyuma ya nondo walau kwa mwaka mmoja akajifunze maadili kwanza.