Tangazo toka kwa mwenyekiti manoah.

Tangazo toka kwa mwenyekiti manoah.

Judgement ! Baba V kakupa shilingi ngapi?

To oppose or refusin the currently regime, without "ridhaa ya wadau" is a rebel!
Rebel's regime can't existed!
Hilo halihitaji kujadili.
From know where someone came and establish unknown regime! Generally can't accepted!
Some pipo are natural- born leaders as Baba V or watu8 lookin like! They may emerge as leaders , when none exists or when a group recognizes and trusts.
Leader align their activities to a clearly defined mission and vission.
Hata yeye manoah angekaa akabuni kitengo kingine then tungemuelewa.
Si kusubiri vilivyobuniwa ukatamani kuvi overthrow!
Bado naamini Baba V anafit kwa nafasi hiyo.
 
Last edited by a moderator:
ah aha ah! madili yako yote yatakwama, hutapalilia na majani yakaisha... na mafuriko kamwe hayatatokea

Ngoja nimsaidie tu mawazo, anaweza akaanzisha kamati ya watoto wa kiume wa Chitchat ambao bado wanaishi kwa wazazi wao
 
sawa,
lakini hakuna mama mubaya
si unajua mama ni mama tu

na kwanini haukunipa tena jina la yule
jamaa yako ya kukuletea mzigo ukaacha hadi nikautumia tena
mama usihofu sana ngoja nikae kimjini mjini zaidi utaona matunda ya mwanao....kuna watu wananione wivu kua na wamama wazuri wazuri only...
 
ha ha ha nitonye.. na wanasema vle vle kwamba ngoja ngoja yaumiza matumbo..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom