Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Katoto kanakomaa vibaya haka eti mwanamke uwe na wanaume 4. anatakiwa awe nyuma ya nondo walau kwa mwaka mmoja akajifunze maadili kwanza.
Anajaribu waya wa High voltage kwa kutumia ulimi... mtamskia tu, mhurumieni