Kuwa makini mkuu...Mkuu, inawezekana haka ndio kati ya wale waliotoa onyo kwa wake za watu kwamba.... wanavamia kitaa
Mkuu nenda kafanye mascallation ya meno kwanza ndo Gen Z akukubali bila hivyo hukipati ng'oHapa job mimi ni mfanya usafi, sasa kuna hii GenZ inapita kwa koridoo kila wakati wakuu namimi sipo nyuma sana kwenye moja na mbili nikalianzisha.....
Mimi: Habari binti, haujambo?
Yeye: Sijambo, nambie
Mimi: Nimekua nikikuona hapa tangia jana na nimejikuta unanivutia
Yeye: Naomba unikome baba, nenda katafute wataipu yako wenye sura mbaya kama ngozi ya kalio
Mimi: Uposahihi binti, na ndio sababu nimeona wewe ni taipu yangu...🤣
Wakuu hapa nilipo nimeacha vitendea kazi vyote pale na sijui kama kibarua bado ninacho tena, maana naskia ni ndugu wa boss yule...😂
Au nimemjibu vibaya wakuu....🙄
Kutwa unawaza chaka lingine lolote linaweza kutokeaHapa job mimi ni mfanya usafi, sasa kuna hii GenZ inapita kwa koridoo kila wakati wakuu namimi sipo nyuma sana kwenye moja na mbili nikalianzisha.....
Mimi: Habari binti, haujambo?
Yeye: Sijambo, nambie
Mimi: Nimekua nikikuona hapa tangia jana na nimejikuta unanivutia
Yeye: Naomba unikome baba, nenda katafute wataipu yako wenye sura mbaya kama ngozi ya kalio
Mimi: Uposahihi binti, na ndio sababu nimeona wewe ni taipu yangu...🤣
Wakuu hapa nilipo nimeacha vitendea kazi vyote pale na sijui kama kibarua bado ninacho tena, maana naskia ni ndugu wa boss yule...😂
Au nimemjibu vibaya wakuu....🙄
Duuu huyu ndio kocha la makombe?
Kumbe ndo zako! kazi huna mkuuuNdio mkuu....View attachment 3698152
Vipi tena?Ameshiba umkhombothi?