Tangia sisi Waafrika tumeijua imani ya kweli kuliko hao wazungu na waarabu tumeweza kuwa na ueledi mkuu katika masuala gani ya msingi kuzidi wao?

Tangia sisi Waafrika tumeijua imani ya kweli kuliko hao wazungu na waarabu tumeweza kuwa na ueledi mkuu katika masuala gani ya msingi kuzidi wao?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Tumebakia kuwa wapiga kelele. Tukiomba rehema za Mungu huku tunatamani maisha ya wale tunaona hawamfai Mungu.

Maana, ilibidi imani zetu thabiti ndio zitukumboe na haya majanga yetu coz haina maana kuteseka wakati miaka karibia 10-15 yrs umeshikilia imani ya kweli. Hakuna cha kwenda ku-enjoy mbinguni, sidhani kama Mungu anataka akukalie kimya hadi umkufuru.

Ukata ndio unazidi.

Vijana wanakimbia makanisa

Ujinga ndio unazidi.

Ufisadi ndio unazidi.

Akili za watoto wenu zimehamia kwenye makalio.

Matapeli wanakula sadaka zenu.

Magonjwa makuu yanatokea kwenu.

Udini na uitikadi ndio unazidi kuwatenganisha

Mi nafikiri tulimsogeza Mungu mbali kwa kudhania kushikkilia imani za dini na itikadi kwa uthabiti ndio kumfikia Mungu mkuu lakini kumbe tulikuwa tunaenzi waliotufundisha imani hizo.
 
Sioni kama imani ya mtu inahusika ; kwa sasa kama imani yao na zetu ni sawa , elimu yao na yetu ni sawa ...Jaribu kuangilia tatizo la asili na kipawa cha kila mtu , wapo wanaozaliwa na uwezo wa akili na wengine hamna kitu ila wote ni binadamu wenye thamani ile ile .

Ukifikria kuhusu imani utachelewa sana kwa sababu zile za mababu zetu ndiyo tungekuwa kama hadzabe , baadhi ya mambo yanatokea nje ya uwezo wa binadamu kikubwa kupambania .

Afrika ingeendelea kama ingeendeshwa kwa North korea , hakuna kufuatilia mambo ya nchi nyingine badala yake mnaacha kufanya kazi na kusifia mambo ya wazungu ..Just imagine wewe unajidharau na wenzio kibao wanajidharau ila yule hadzabe hana stress za kupata hata mil 1 ....Afrika tuliingia mfumo usiokuwa sahihi kwetu.
 
Dini ilikuwa ni colonial tool (mechanism) ambayo ilitumika kuwa soften na kuwa control watu hasa weusi wa bara la Africa.

Kwasasa hazina tija katika mustakabali wa maendeleo ya jamii zetu. As long as kuna sheria dini ziwekwe pembeni watu wafanye maendeleo bila vitisho vya moto na jehanamu.
 
Hakuna maendeleo kwa sababu uko limited na watu wengine , unaona kweny Tv nchi ya jirani ilivyo basi nawe unataka iwe kama yako .

Kiufupi bora ingekuwa tunatoa madini na kujengewe barabara ila sio kupewa makaratasi tuyatumie , tuko controlled ukinyanyua makuch yanakukuta ya Gaddaf ,tuachane na elimu yao tufanye tafiti ya wale waliojenga pyramids walikuwa wanatumia mifumo gani .

Hatuwezi kuwafikia wazungu kwa sababu tuko chini yao na mfumo kwetu umegoma.
 
Hii mijadala ni ya kinafki, na imejaa kweli humu.

Tunakosoa sana hizo dini lakini hatuziachi.

Wewe mleta mada upo tayari kuacha kumuamini Mungu?

Wale wanaosema Mungu hayupo ukristoni/uislamuni nao ni wale wale tu, wapiga chenga.
 
Dini ilikuwa ni colonial tool (mechanism) ambayo ilitumika kuwa soften na kuwa control watu hasa weusi wa bara la Africa.

Kwasasa hazina tija katika mustakabali wa maendeleo ya jamii zetu. As long as kuna sheria dini ziwekwe pembeni watu wafanye maendeleo bila vitisho vya moto na jehanamu.
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!
 
Hii mijadala ni ya kinafki, na imejaa kweli humu.

Tunakosoa sana hizo dini lakini hatuziachi.

Wewe mleta mada upo tayari kuacha kumuamini Mungu?

Wale wanaosema Mungu hayupo ukristoni/uislamuni nao ni wale wale tu, wapiga chenga.
Kwa kweli waafrika hata ukisoma tafiti zao ni watu wa kukisia , yaani hakuna uhalisia kabisa na sababu wanazootoa 😀 wachina wameanza kuruhusu dini tena kwa kuzisajili ila wako mbali sana , kumbuka china kuna watu karibia mil 30-40 wanaishi kweny mapango yaani wanaishi maisha ya primitive ila bado wanaendelea .

Ogopa mtu anayependa mambo ya vikundi vikundi ndio chanzo cha ukabila , ukanda hata hao atheists nao ni kundi jingine linawachukia wafuata dini ni yale yale tu ..

Nilitaka kuona hao atheists wakifanya ugunduzi wako wengi ; kuna wakushi na wachokonozi hapa bongo ...

Umaskini kama ni tatizo basi tutalitatua mpaka tujue sababu ila kwa wanazotoa naona bado wanazunguka , assume kuna nan kafanya ugunduzi tena mpya ? Tungojea wenzetu walete starlink tuanze ushabiki kama vile tunaijua sana hiyo starlink kumbe ni biashara na ugunduzi wa mtu ....Fanyeni vyenu huko tuligota japo tunasoma ila watu hamna kipya zaidi ya kujifunza kingereza tu .
 
Back
Top Bottom