Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Tumebakia kuwa wapiga kelele. Tukiomba rehema za Mungu huku tunatamani maisha ya wale tunaona hawamfai Mungu.
Maana, ilibidi imani zetu thabiti ndio zitukumboe na haya majanga yetu coz haina maana kuteseka wakati miaka karibia 10-15 yrs umeshikilia imani ya kweli. Hakuna cha kwenda ku-enjoy mbinguni, sidhani kama Mungu anataka akukalie kimya hadi umkufuru.
Ukata ndio unazidi.
Vijana wanakimbia makanisa
Ujinga ndio unazidi.
Ufisadi ndio unazidi.
Akili za watoto wenu zimehamia kwenye makalio.
Matapeli wanakula sadaka zenu.
Magonjwa makuu yanatokea kwenu.
Udini na uitikadi ndio unazidi kuwatenganisha
Mi nafikiri tulimsogeza Mungu mbali kwa kudhania kushikkilia imani za dini na itikadi kwa uthabiti ndio kumfikia Mungu mkuu lakini kumbe tulikuwa tunaenzi waliotufundisha imani hizo.