1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,561
- 3,328
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa, ni story yenye kumbukumbu nyingi na ladha ya maisha ya zamani. 😊A very good story.
Kweli kabisa, ni story yenye kumbukumbu nyingi na ladha ya maisha ya zamani. 😊A very good story.
Mlekule sumbwa moja hiyoooAisee! Huwa nayakumbuka na kuyams sana yale maisha ya utoto enzi hizo, ki ukwel nataman hata yarud hata kwa muda!!!
Ile michezo ya kitoto tulyokua tukicheza, mfano; mbalee, ukuti, lede, kutafutana katka giza wakat wa usiku wakat tunasubil wazaz waivshe tuitwe kula unakuta tumekusanyana watoto baadhi majran tunatafutana (enz hizo unajficha na mtoto mwenzio wa kike katka giza mnatafutwa na mtaftaj wala hauwaz kumla kimasihara, c kama watoto wa sasa ambao ukiwaacha wenyewe hata dakka tano wakiwa pekeao unakuta wameshakulana, watoto wa enz hzo hatukuwa hvyo)
Nakumbuka enz hzo pia ndgu walkuwa wanatembeleana, ukienda kumtembelea ndgu unaenda na zawadi umefungasha (wao walkuwa wanaita "Ntukulu"), ukfika kwa ndug na Ntukulu ulkuwa unapokelewa kwa vigeregere, uktokeza tu usawa wa mji mnakimbiliwa nakumbatiwa huku mwenyej anaimba nyimbo za kikabila huku mnapokelewa!
Had leo naikumbuka safar tuliendaga kumtembelea bibi kipnd hcho hamna cm wala nn nikushtukiza tu, bibi alpotuona alicheza sana "mlekule!"
😂😂 Karibu sana mkuu! Huu uzi si wa watoto wetu pekee, hata wahenga wa miaka ya 70 tunawahitaji—ndio wenye hazina ya story na uzoefu wa kweli.Na sisi ambao Utoto wetu ulikuwa ni 70s tunaweza comment?Au huu uzi ni wa watoto wetu?
😂😂😂 Mkuu hapo hasira ilikupandisha mpaka ukawa “operation ya usiku” mwenyewe! Kanda mbili, viatu na kila kilichokuwa nje ukaweka kwenye shimo la choo halafu ukasepa zako home 😂😂. Kilichofuata baada ya hapo ndio ningependa kusikia, maana hapo ndipo movie ilipoanza!2001 Kambi ya JWTZ ukumbi wa Mess Chandamari Walinikatalia kuangalia Tv kisa Nimetokea FFU ,Hapo Nimetoka kambi ya FFU nilipo kuwa nakaa Coz zilikuwa zimepakana..
Watu walikuwa wengi muda huo Nje nilibaki pekeyangu..Basi nikaona hawa watanipanda kichwani..Aisee nilikusanya Kanda mbili, viatu, na chochote kilicho kuwa pale Nje nikaenda kutupa vyote kwenye shimo la Choo Me nikarudi zangu Home
Sijui huko nyuma nini kiliendelea
Ilikuwa noma mzee siku walinikamata Wajeda naiba Mapera kambini kwao wenzangu wote walikimbia mimi nilipanda Juu zaidi ya mti..Nili kuwa natoa maelezo huku nashuka chini😁 wakaniambia nile yote😂😂😂 Mkuu hapo hasira ilikupandisha mpaka ukawa “operation ya usiku” mwenyewe! Kanda mbili, viatu na kila kilichokuwa nje ukaweka kwenye shimo la choo halafu ukasepa zako home 😂😂. Kilichofuata baada ya hapo ndio ningependa kusikia, maana hapo ndipo movie ilipoanza!
😂😂😂 Mzee wewe ulikuwa umeamua kuwa ndege siku hiyo! Wenzako wakakimbia, wewe ukapanda juu ya mti na bado unaendelea kutoa maelezo huku unashuka. Halafu mwisho wakaamua, “basi kula yote!” 😂😂 Hii story ni noma sana.Ilikuwa noma mzee siku walinikamata Wajeda naiba Mapera kambini kwao wenzangu wote walikimbia mimi nilipanda Juu zaidi ya mti..Nili kuwa natoa maelezo huku nashuka chini😁 wakaniambia nile yote
Ndio mzee, uzi tayari kabisa 😂🔥Uzi tayari au sio
Kipindi hicho tukienda shule tunapewa Sh Ishirini na Tano (25 Tsh) ya kula. Imagine 10k ilikuwa na nguvu kiasi gani ikiwa mfukoni. 😁😂😂 Kweli kabisa mkuu! Ile elfu kumi ya blue ilikuwa hela ya maana, mfukoni ukiwa nayo unajiona tajiri. Baadaye zikaja noti kubwa, watu wakaanza kusema Lakisipesa 😂 Kumbe thamani ya pesa haikuwa kwenye rangi ya noti, ilikuwa kwenye maisha ya wakati huo.
😂😂 25/= ya kula tu, halafu 10,000/= ilikuwa hela ya maana kweli. Leo ukimwambia Gen Z thamani ya hiyo 10K atadhani unamsimulia hadithi za kubuni! 😁Kipindi hicho tukienda shule tunapewa Sh Ishirini na Tano (25 Tsh) ya kula. Imagine 10k ilikuwa na nguvu kiasi gani ikiwa mfukoni. 😁
Kweli kabisa. 10k ya sasa ni sekunde kadhaa tu ishaisha 😀😂😂 25/= ya kula tu, halafu 10,000/= ilikuwa hela ya maana kweli. Leo ukimwambia Gen Z thamani ya hiyo 10K atadhani unamsimulia hadithi za kubuni! 😁
Saivi anaenda kama byser, sas sijui kalitoa wapiKweli ndiyo msanii mmoja akajiita Mr blue,sababu noti ilikuwa na thamani.